Ingawa andiko kuhusu huo utaratibu aliouliza lipo, ila kwa maoni yangu Jibu hili ni zuri zaidi kuliko kumpa andiko.Kwani wewe kunya kwenye choo cha shimo na kunya kwenye sink umetowa kwenye andiko gani?
Sina nia mbaya nataka kujua tu, nini chanzo cha kuwekana wakfu kifudifudi,?Unataka kuleta ubishi kipumbavu sana, unauliza as if umemaliza maandiko yote na as if ni lazima kila kitu kiwe kimeandikwa.
Ntashukuru sana kama ukinionesha hilo andiko mtumishi🙏Ingawa andiko kuhusu huo utaratibu aliouliza lipo, ila kwa maoni yangu Jibu hili ni zuri zaidi kuliko kumpa andiko.
Aisee..!! Uzuri wa sisi wakatoliki, mkitutukana au kutusema, tunakusikiliza, dominika ikifika tunakwenda kanisani kusali, halafu baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Hatuna muda wa kukuaminisha kuhamia ukatoliki. Ukiona unautaka, ni juu yako kutafuta kanisa lilipo na wewe mwenyewe kujieleza unachokitaka then unaendelea na utaratibu. Hivyo wewe tuseme, tu usiku wote tutalala..!!Eti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"
Kunatofauti Kati ya mambo ya Roho na ya mwili ni vyema tukaelewa tofauti hizo mtumishiUngemuuliza Yesu alikaa kwenye mabenchi alipokuwa kwenye masinagogi?Yeye huwa anaenda kuabudu kwenye masinagogi?
Heshimu tu imani ya jilan yako, haikulazi njaaEti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"
Mwanzo 17:2-3Sina nia mbaya nataka kujua tu, nini chanzo cha kuwekana wakfu kifudifudi,?
Sijaona mtume wala nabii yoyote kwenye maandiko aliyewekwa wakfu kwa style hiyo,
Ndiyo sababu iliyofanya niulize nyie wenzetu mmeitoa wapi??
Maana shetani mjanja janja sana
Italian made hivyo, huwezi kuvipata kariakoo 😄 🤣Upadrisho ndo nini? Mbona viatu sare?
Sijaona sehemu yoyote uliyotukanwa,Aisee..!! Uzuri wa sisi wakatoliki, mkitutukana au kutusema, tunakusikiliza, dominika ikifika tunakwenda kanisani kusali, halafu baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Hatuna muda wa kukuaminisha kuhamia ukatoliki. Ukiona unautaka, ni juu yako kutafuta kanisa lilipo na wewe mwenyewe kujieleza unachokitaka then unaendelea na utaratibu. Hivyo wewe tuseme, tu usiku wote tutalala..!!
Mbona hakuna mahusiano yoyote kuwekwa wakfu kifudifudi na huo mstari,Mwanzo 17:2-3
Umeshajibiwa vizuri Mwanzo 17:2,3. Mimi siyo Mkatoliki lakini lakini katika ukiristo kuwekwa Wakfu Mtumishi anaanguka pomoni.Hiyo style ya kuwekana wakfu kifudifudi mmeitoa kwenye andiko gani mtumishi??
Hawa wasanii kama wengine tu, pamoja na kufanana mpaka soli za viatu lakini hapo kila mmoja anawaza jambo lake moyoni
Kunya kwenye choo cha shimo au sink sio ibada, hata wapagani hufanya hivyo,Kwani wewe kunya kwenye choo cha shimo na kunya kwenye sink umetowa kwenye andiko gani?
Ni ngumu sana kuelewa lengo la ukatoliki katika imani ya KikristoHawa wasanii kama wengine tu, hapo kila mtu anawaza jambo lake moyoni
Umeshajibiwa vizuri Mwanzo 17:2,3. Mimi siyo Mkatoliki lakini lakini katika ukiristo kuwekwa Wakfu Mtumishi anaanguka pomoni.
Hakuna jibu kwenye huo mstari wala haina maana hiyo; wakatoliki wanachofanya ni kuokota okota maandiko na kuchanganya na ibada zao za kipaganiUmeshajibiwa vizuri Mwanzo 17:2,3. Mimi siyo Mkatoliki lakini lakini katika ukiristo kuwekwa Wakfu Mtumishi anaanguka pomoni.
Ndio nini hicho??Upadrisho
Biblia siyo mwongozo wa ibada. Ibada ni makubaliano ya viongozi wa Kanisa. Biblia ina vitabu 66+ huwezi kuniambia unasoma kila mstari ili ufanye ibada.Eti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"