Reference ipi waliyoitoa kwenye book of enoch?Lete sura ya quran.
Halafu uelewe Roman Catholic wana Apocrypha books ambazo hazipo kwenye bible lakini ni maandiko matakatifu ambayo makuhani wanachukuwa some refference kutoka vitabu hivyo, kama book of Enock, Sila and e.t.c
ACHENI WIZI.Wewe ndiye hujielewi na umejiibia akili.Hiyo ilikuwa ni misa ya mazishi.Na katika misa ya mazishi sadaka ni za hiyo misa.Huo unafiki wako wa kujidai mlimchangia mjane ni uzwazwa kamili.Kwani hamkuambiwa kwamba hiyo ni misa ya mazishi?Kama ni jirani yenu kulikuwa na ulazima wa kumchangia hadharani?Kusubiri mpate faragha ya kwenda kumpa pole na kumchangia mlikatazwa na nani?Wanafiki hadi keshokutwa asubuhi ninyi!
Kitimoto bia na sigaraAisee..!! Uzuri wa sisi wakatoliki, mkitutukana au kutusema, tunakusikiliza, dominika ikifika tunakwenda kanisani kusali, halafu baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Hatuna muda wa kukuaminisha kuhamia ukatoliki. Ukiona unautaka, ni juu yako kutafuta kanisa lilipo na wewe mwenyewe kujieleza unachokitaka then unaendelea na utaratibu. Hivyo wewe tuseme, tu usiku wote tutalala..!!
Kitimoto bia na sigaraAisee..!! Uzuri wa sisi wakatoliki, mkitutukana au kutusema, tunakusikiliza, dominika ikifika tunakwenda kanisani kusali, halafu baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Hatuna muda wa kukuaminisha kuhamia ukatoliki. Ukiona unautaka, ni juu yako kutafuta kanisa lilipo na wewe mwenyewe kujieleza unachokitaka then unaendelea na utaratibu. Hivyo wewe tuseme, tu usiku wote tutalala..!!
Hawana hata aibu,ACHENI WIZI.
SAIDIENI WAJANE,WAGANE NA YATIMA BADALA YA KUWANYANG'ANYA WANACHOSAIDIWA ETI MNAKIITA SADAKA.
SADAKA NYUMBANI KWA MAREHEMU?
SADAKA MAKABURINI?
Nimekupa maelezo.Sasa kama utafanya kichwa chako ni kama cha kuku,sawa.Ila ikitokea umeacha unafiki utaishi mtaani vizuri tu.Kwamba mkamchangia shemeji yenu mcango wa kumsaidia kwenye misa ya mazishi?Mna degedege ninyi!ACHENI WIZI.
SAIDIENI WAJANE,WAGANE NA YATIMA BADALA YA KUWANYANG'ANYA WANACHOSAIDIWA ETI MNAKIITA SADAKA.
SADAKA NYUMBANI KWA MAREHEMU?
SADAKA MAKABURINI?
Nimekupa maelezo.Sasa kama utafanya kichwa chako ni kama cha kuku,sawa.Ila ikitokea umeacha unafiki utaishi mtaani vizuri tu.Kwamba mkamchangia shemeji yenu mcango wa kumsaidia kwenye misa ya mazishi?Mna degedege ninyi!
Kuna mtu amekukataza kuandika au kutamka chochote hata kama ni ujinga?Umeshindwa hoja yako ya kitoto kuhusu mjane,unalazimisha uwe umeibiwa.Ulishindwa kuwadai palepale wakurudishie elfu moja yako?KWAKUWA WIZI NINYI MNAITA SADAKA LABDA.
NDIO MIMI NINACHOKIFAHAMU KUHUSU HAO WALIO LALA HAPO KWENYE PICHA NI WEZI.
THKuna mtu amekukataza kuandika au kutamka chochote hata kama ni ujinga?Umeshindwa hoja yako ya kitoto kuhusu mjane,unalazimisha uwe umeibiwa.Ulishindwa kuwadai palepale wakurudishie elfu moja yako?
Ulivyokuwa unaweka sadaka kwa hiyari yako na vikono vyako kama mkoma ulilazimishwa?Sasa hapo nani alikuibia?Wewe ni mpuuzi tu nakupuuzia.CATHOLIC NI KANISA KUBWA, LINA WAUMINI WENGI SANA,LINA TAASISI NYINGI SANA ZA KIELIMU,AFYA.
HILI LA WIZI WA FEDHA ZA WAHITAJI LIMEWASHINDA KUKOMESHA KWELI?
EBU ACHENI WIZI.
TH
It doesn't make any difference, imbecileSio Ukristu ni Ukristo
Uliona wapi hiyo au nani alikusimulia huo uongo?Kama wanaomba msaada kwenye sanamu la Bryan Deacon akiwa kapigiliwa misumari hicho kituko kingine wala hakishangazi
Hata sadaka ya kujimaliza sidhani kama ipo.Hivi,kutumia vitu vya kifahari kama magari,nyumba,kumiliki mali nyingi na fedha navyo vimo kwenye bible?Kwenye bible hakuna hii
Kwa hyo mmezusha tu.Hata sadaka ya kujimaliza sidhani kama ipo.Hivi,kutumia vitu vya kifahari kama magari,nyumba,kumiliki mali nyingi na fedha navyo vimo kwenye bible?
Kulala kifudifudi haujawahi kusoma kwenye bible?Mimi sifundishi bila ada aisee!Lokovus are good for nothing.Kwa hyo mmezusha tu.
Kawafundisha nani?
Haipo hyo.Kulala kifudifudi haujawahi kusoma kwenye bible?Mimi sifundishi bila ada aisee!
Uliona kulala chali na ubavu tu?Au na hiyo haipo.Musa alipoenda kupokea amri 10 za Mungu aliamriwa nini afanye na afuate utaratibu upi?Vipi kuhusu Daudi alivyokuwa akitaka kuingia kwenye sanduku la Agano au hekaluni mwa Bwana?Kasome Mwanzo yote na Wafalme yote.Haipo hyo.