Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Wale walisujudu,ila hao Wana galagala
 
Unyama in summary
 

Attachments

  • 20230408_114652.jpg
    85.4 KB · Views: 2
Eti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"
Kwenye biblia wapi pameandikwa suti? Mbona mnaingia nazo kanisani? Unajua kazi ya rozari? Ukiwa muislam kuna kitu inaitwa tasbih basi kazi ya rozari na tasbih ni sawasawa.
 
Hiyo picha imepigwa siku ya upadrisho (kuwaweka wakfu mapadri wapya)
 
Hiyo style ya kuwekana wakfu kifudifudi mmeitoa kwenye andiko gani mtumishi??
Soma maandiko, acha kuuliza maswali ya wasioielewa biblia. Angalau ungeuliza utaratibu wa kupiga ngoma na maguitar makanisani umetoka wapi ningekuelewa ila hilo la kifudifudi lipo kwenye maandiko.
 
Hawa ni waafrika wakifanya tamaduni za wazungu wa kale ili kuendeleza utumwa wa kitamaduni na ukoloni mamboleo.
Na ndio maana ukipita ktk makanisa yao utapishana na masanam ya kizungu tu, hamna hata moja la mtu mweusi.

Watakatifu wao wote ni wazungu kutoka italy
 
Kwenye biblia wapi pameandikwa suti? Mbona mnaingia nazo kanisani? Unajua kazi ya rozari? Ukiwa muislam kuna kitu inaitwa tasbih basi kazi ya rozari na tasbih ni sawasawa.
Ukristo na uislam wapi na wapi? Mungu wa waislamu ukimpima kwa mizania ya Biblia unamuona ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…