Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Uliona kulala chali na ubavu tu?Au na hiyo haipo.Musa alipoenda kupokea amri 10 za Mungu aliamriwa nini afanye na afuate utaratibu upi?Vipi kuhusu Daudi alivyokuwa akitaka kuingia kwenye sanduku la Agano au hekaluni mwa Bwana?Kasome Mwanzo yote na Wafalme yote.
Wale walisujudu,ila hao Wana galagala
 
Roma Catholic hawajawahi kuwa wa Kristo na hawatakuja kuwa wa Kristo na wala hawakuanzisha Ukristo

Ukristo haujawahi kugawanyika hata siku moja;

Ukristo ni lifestyle sio dini wala kanisa; utaitwa Mkristo ikiwa utaishi sawa sawa na mafundisho ya Yesu Kristo
Unyama in summary
 

Attachments

  • 20230408_114652.jpg
    20230408_114652.jpg
    85.4 KB · Views: 2
Eti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"
Kwenye biblia wapi pameandikwa suti? Mbona mnaingia nazo kanisani? Unajua kazi ya rozari? Ukiwa muislam kuna kitu inaitwa tasbih basi kazi ya rozari na tasbih ni sawasawa.
 
Hiyo picha imepigwa siku ya upadrisho (kuwaweka wakfu mapadri wapya)
 
Hiyo style ya kuwekana wakfu kifudifudi mmeitoa kwenye andiko gani mtumishi??
Soma maandiko, acha kuuliza maswali ya wasioielewa biblia. Angalau ungeuliza utaratibu wa kupiga ngoma na maguitar makanisani umetoka wapi ningekuelewa ila hilo la kifudifudi lipo kwenye maandiko.
 
Hawa ni waafrika wakifanya tamaduni za wazungu wa kale ili kuendeleza utumwa wa kitamaduni na ukoloni mamboleo.
Na ndio maana ukipita ktk makanisa yao utapishana na masanam ya kizungu tu, hamna hata moja la mtu mweusi.

Watakatifu wao wote ni wazungu kutoka italy
 
Kwenye biblia wapi pameandikwa suti? Mbona mnaingia nazo kanisani? Unajua kazi ya rozari? Ukiwa muislam kuna kitu inaitwa tasbih basi kazi ya rozari na tasbih ni sawasawa.
Ukristo na uislam wapi na wapi? Mungu wa waislamu ukimpima kwa mizania ya Biblia unamuona ni nani?
 
Back
Top Bottom