Hii ina maana gani ni positive au negative?

Muwe makini na hivyo vipimo maana ukichukua damu ya mbuzi nakuiweka hapo inaonyesha mbuzi ni muathirika. Na ukichukua damu ya ng'ombe inaonyesha sio muathirika.
Kwahiyo unataka kusemaje Mkuu?

Hujatoa ufafanuzi kwamba akiweka damu ya binadamu itaonesha negative au Positive?

Kumbukeni siku hizi hakuna ule Ukimwi wa kukukondesha labda utamwona kwa Macho kama zamani.

Siku hizi unakutana na demu mkali kinoma, kumbe ikifika saa nne usiku lazima ameze dawa.

Chukueni tahadhali
 
Kizazi cha 2000 sidhani hata kinaelewa ngoma kwa undani wake mkuu. 90s nilikuwa nashuhudia vitu vya hatari, mtu kanyooka ubao ukasome aisee!!
 
Wa siku hizi haukondeshi sasa, maana watu walijipimia kwa macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…