Hii ina maana gani ni positive au negative?

Hii ina maana gani ni positive au negative?

View attachment 2731104nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
sidhani kama upo serious, ila kama upo serious, pole sana ndugu. kazana kula matunda, mrudie Mungu wako, punguza msongo wa mawazo na jitahidi kumeza vidonge.
 
Kipimo kingine tofauti na iki? Au tufike zahanai au hospital?
kwa kifupi ni kwamba, mstari mmoja ni negative, mistari miwili kama hiyo ni positive, ni kama inavyokuwa kwenye UPT (urine pregnancy test). ukiona mstari mmoja hana mimba, miwili anza kuandaa nepi. hata kwenye ngoma ukiona mistari miwili anza kuandaa wosia, ,kula vizuri na mrudie Muumba wako.
 
Ushauri nenda hospitali pima damu kubwa hapo haionyeshi maana inawezekana hajapata siku nyingi kapata majuzi ndio maana haikolei .

So nendenk hospitali nyie sio wapima,afya nalipieni ndio mtapata majibu mazuri
 
haikolei gani wakati mistari miwili ipo wazi kabisa ile?
 
Embu hatujakutana miaka 6 ni wautotoni
kwahiyo ulivyompima ukamwangalia tu kwa macho na hamjakutana for 6 good years. acheni uzinzi nyie,mrudieni Mungu. Dunia na mambo yake yote yanapita, ngono inapita, pesa zinapita, majumba yanapita kila kitu ni ubatili mtupu, ishi kwa kuambatana na Mungu.
 
Back
Top Bottom