Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli


Una maakili sana ndugu. Huna ulichoacha. Tusipomdhibiti sasa imekula kwetu. Huyu ni kweli kabisa ana mawazo ya hao kina Gadafi and the like. Watanzania hii chance ya sasa tusiipoteze. Akirudi huyu hatakubali itokee tena sekeseke anayopitia sasa. Ndio hakuna rangi tutaacha kuona. Mbaya zaidi ni mtu wa visasi weee. Yani hajui kabisa UONGOZI.
 
Eti anasema yeye uRais atashinda tu hata asipochaguliwa, yeye anaomba tu kura za wabunge na madiwani.! Sasa anaongea hivi hata hajishtukii? Kabisa anamaanisha wataiba kura! Yani hapa tulijua kuingia ‘cha kike’.
 
Na ndio maana mpaka sasa CCM hawataki kuskia mambo ya katiba mpya kwa maana wanajua itawanyima mamlaka kama hayo na itawaumiza kwa upande mkubwa sana
 
Nani kakuambia kwamba JPM amekata tamaa ? Subiri matokeo tarehe 30/10/2020, ndio utakapojua nani mshindi. Yaani tatizo la wapinzani mnadhani kushinda uchaguzi nchi hii ni kirahisi tu.
 
Hivi ni lini umati uliojitokeza kumsikikizaJPM ukawa sawa na umati uliojitokeza kumsikiliza Tundu Lussu ? Hili jiji la Mwanza lina watu wengi sana. Hao unaosema nyomi ni kiduchu mno. Kwanza wala jini halikuteteleka sil TL alipokuwa Mwanza.
Limuume tu. Ametutesa sana huyu bwana.
 
Kwa mara ya Kwanza tangia u mejiunga, ndio naona umetumia akili yako vizuri!! sasa karibu unafunguliwa kutoka kwenye laana ya ujinga!! hongeraaaa!!
 
.
Ni vema ukaandika haya baada ya 28. 10 .2020, maana unayoandika Nia sawa na usiku was Giza.
Kwa mihemko yako wadhani watu wote wanamchukia JPM.
Subiri, time will tell.
Ndio! haiwezekani watu wote wakamchukia! Wanao mpenda ni we we na wengine wachache walionufaika na huu utawala! Unakumbuka hata kipindi Cha ukoloni. Kuna mijitu ilinufaika!! na ilikuwa haitaki ukoloni undoke!! hivyo wanufaika wachache watamuunga mkono! Kama wale wa jalalani.
 
Alikuja yule wakasema huyu mbinafsi, akaja yeye wakasema mpenda starehe, Akaja huyu wakasema wakasema dikteta, Wakija kukubali Tanzania itatimiza ahadi za maendeleo ya millenia, Dr. John Pombe Joseph Magufuli for new Tanzania.
 
Nitajie nchi ambayo Rais anayetetea nafasi yake huwa anaachana na majukumu yake ya Urais pale inapofikia kipindi cha Uchaguzi mkuu.
Soma katiba ya warioba imefafanua kila kitu.
 
Visasi
Chuki
Roho mbaya
Ubinafsi
Katili
Mwizi
Uongo
Fisadi
Mdini
Mkabila
Mkanda
Mzinzi
Mbaguzi
Muuaji
Mjuaji
Kiburi
Dharau
Dikteta

Msichague viongozi wenye sifa hizi wanaharibu umoja wetu pia ni hatari kwa amani yetu
 
Tuchague kuuza nchi yetu kwa Amsterdam Mzungu mrafi na mroho.
Heri ya mkoloni mweupe kuliko mweusi.Hio hoja ya kuuza nchi ilifaa miaka ya 70 sio kwa kizazi cha sasa.This time wauaji hawana nafasi hio
 
Eti mshika hazina ya nchi mtoto wa dadake
Mkandarasi mkuu ni mume mwenza
Mkuu wa majeshi family member
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
 
Hata Kama ni Mimi kwa jinsi alivyokuwa anapewa sifa na wapambe wake lazima ukate tamaa [emoji33][emoji33]
 
Paragraph ya mwisho, watu hawana maendeleo binafsi, maisha ni magumu, mzunguko wa fedha kama umesizi fulani!

Sasa kiukweli kijijini huko madongo kuinama ukizungumzia matrilioni ya ndege, ukaja kuongelea bwawa sijui treni la umeme, hatuelewi hivyo vitu vinatuleteaje hela mfukoni.

Tukisikia upande wa pili yeye na mpwa wake na mume mwenza mnakula cake ya taifa, tunaelewa zaidi! Kwann sisi huku hali ngumu na wao hali hawaielewi ni ngumu.

Watangulizi wake walikuwa wanaelewa kukimbilia kujenga projects nyingi kwa wakati mmoja, itatuumiza wananchi, hawakuwa wajinga au wasio wazalendo.

Everyday is Saturday.................................. 😎
 
Nani kakuambia kwamba JPM amekata tamaa ? Subiri matokeo tarehe 30/10/2020, ndio utakapojua nani mshindi. Yaani tatizo la wapinzani mnadhani kushinda uchaguzi nchi hii ni kirahisi tu.
Walioko na wanaogombea CCM ni wasaka tonge tu wala hawana uchungu na WANANCHI na ndio maana wametuletea Sheria za ajabu sana za MAFAO wakati wenyewe washachukua chao ni UBINAFSI WA HALI YA JUU SANA. WOTE MBWA TUU.
 
Alikuja yule wakasema huyu mbinafsi, akaja yeye wakasema mpenda starehe, Akaja huyu wakasema wakasema dikteta, Wakija kukubali Tanzania itatimiza ahadi za maendeleo ya millenia, Dr. John Pombe Joseph Magufuli for new Tanzania.
Walioko na wanaogombea CCM ni wasaka tonge tu wala hawana uchungu na WANANCHI na ndio maana wametuletea Sheria za ajabu sana za MAFAO wakati wenyewe washachukua chao ni UBINAFSI WA HALI YA JUU SANA. WOTE MBWA TUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…