Nenda hospitali huo ni ugonjwa wa ngozi (ukurutu)Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV
Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda hospitali huo ni ugonjwa wa ngozi (ukurutu)Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV
Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
![]()
Halafu USAID tumeweka SIKU YA KOMDOMU au bado hujasikia?
Zipo rapid testVipimo haviwezi kudetect wiki 2
interval yake ni miezi mitatuZipo rapid test
Antibodies test ndani ya lisaainterval yake ni miezi mitatu
Unajua mpaka PCR halafu unakuja kuuliza hapa JF kama una ¤vital signs"?wiki mbili haiwezi onekana labda ningepima kipimo cha PCR
Wacha kuhamasisha ngono zembe Mkuu,Mzeya changamka leo ndio siku yenyewe ya kuambukiza wengine fanya fasta bro usife peke yako kizembe
Hata ungekua wewe hapa unatumiaje mpira?We jamaa hovyo kabisa. Kwa hiyo ukajiaminisha kuwa ubonge ndiyo afya? Umejiunga kwenye gridi ya taifa kizembe sana aisee. TANESCO hoyeeee!
View attachment 3236451
si kweli kusema n ukurutuNenda hospitali huo ni ugonjwa wa ngozi (ukurutu)
😂😂😂nacheka kama mazuriHata ungekua wewe hapa unatumiaje mpira?
ukijikuna yaan nawashwa ukikuna ndo vinatoka vipeleHivi rashes zinatokea ukijikuna au zinatoka tu?
duuh
Wewe huumwi unachangamsha genge tuheeee scabizi ndio nn tena🤔