Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

e5b564b6-23e0-4638-b493-d1b964ed8027_16x9_600x338.jpg

Halafu USAID tumeweka SIKU YA KOMDOMU au bado hujasikia?
 
Mzeya changamka leo ndio siku yenyewe ya kuambukiza wengine fanya fasta bro usife peke yako kizembe
Wacha kuhamasisha ngono zembe Mkuu,

Serikali inatumia gharama kubwa sana kwenye kupambana na huu ugonjwa kuanzia kwenye ununuzi wa ARVs hadi kule kwenye tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS)

Bora uwakumbushe kutumia kondomu kwenye mizunguko yao leo
 
HIV ,Haina mambo hayo
Labda umevuka stage umefikia

UKIMwi
Fuga kucha kwa matumizi zaidi
 
Nimewahi pima kwa lazima,nimemchukua yule dada kufika chumbani akatoa vipimo eti tupime kabisa, alinishtua sana japo alinisaidia sana kujijua status yangu na kuwa makini way forward
 
Back
Top Bottom