Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

Kuna sehem imeandikwa jf ni ya tanganyika? Raisi wako alivosema kama yeye ni Mzanzibar ungelikua una la kumjibu ungemwambiaje???
Sijui kwa nini hampendi tujinasibishe na uzanzibari wetu?
Jinasibisheni sasa mnalalamika nini huku? Nenda kaione serikali ya zanzibar... Wanafiq wakubwa nyie.... Nenda huko kaelezee hayo yote....
 
Zanzibar ni ya wabantu toka lini? Wabantu waliletwa Zanzibar na Waarabu kama watumwa. Historia inawapiga chenga sana aisee.
Mkataa kwao ni mtumwa..kama wewe ni black jua kwenu ni kigoma na tabora..usijikute mwarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Zanzibar kwa rushwa inatisha
 
Haya ndiyo matunda ya Muungano na Tanganyika. Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, Zanzibar ingekuwa kama Muscat leo na ingefaidi utajiri wa mafuta. Umaskini uliopo ndiyo unaleta wawekezaji ambao hawajali mila na desturi za Zanzibar.
sahihi
 
Kwani hiyo si Sunna mkuu!
Hayo Mambo ni vigumu Sana kuyathibiti kwenye selta ya Utalii!
Tuombe Mungu....na Kila mtu aangalie familia take
Serikali iweke Zuio Hawa watu hayo wayafanyie Mahotelini pekee!
 
Too late bro huwezi kuzuia hayo makampuni yasiingie,maana watunga sera wetu wa sasa,wao kipaumbele ni ukuaji wa uchumi na diplomasia ya nje.
Hapa wanaangalia anayeweza kuleta na kuwekeza pesa ndefu hapa nchini(bara na Zenj).Kuna mmasai Ali ingiliwa maeneo mpaka akapata madhara ya kuharibika utumbo,na mwishowe akapoteza maisha.
Wazungu walikimbia airport na kwenda kwao,kesi ikamalizwa kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…