Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

Kuna familia moja ilikuwa na shoga huko walikuwa wanamficha balaa. Wabadilike kwanza wao ndio mambo mengine yatabadilika.
 
Huwa napata taabu mtu anapohusisha uvivu na Wazanzibari. Hili jambo husemwa kama nyimbo iliyozoeleka ila ni uongo.
Kiongozi mimi nimeishi huko miaka karibu 3 hivi ..vijana wengi hawafanyi kazi, nenda mchina mwanzo na pale uwanja wa jeshi ni SOGA tuu
 
Anajisemea tu kwa chuki zake binafsi mzanzibari na mtanganyika watu wawili tofauti. Amtafute uyo malaya wa kiarabu anaepatikana kisonge na cccm
Niwe na chuki na Mzanzibar ili zinisaidie nini ?? Naongea kwa ushahidi nilioona kwa macho yangu.UOVU hausemwi hapa nasema ili kuweka mambo sawa. Malaya wa kiarabu hata kariakoo mtaa wa Sikukuu wapo.
 
Inaitwa pilipili,naiona sana lwenye mtandao na mara nyingi sana nimekuwa nikiona wanatangaza sana nafasi za kazi mara kwa mara pabda Mashoga hawadumu kazini wakishapigwa pumbu.Mudamrefu sijatembelea mahoteli ya zanzibar ila ugonvi wa watu wa Zanz8bar mara nyingi ni kwa wakenya na kunyenyekea wageni wazungu,kama vile wasouth africa kupiga wenzao weusi na kuwaacha wazungu.Acha waendelee kufirana mkuu!Naomba namba zako tuyajenge!hahaha
 
Uzi mzuri sana huu na kuna ile thread ya Zanzibar ipaswa kuingia pale, maana Zanzibar as Unguja kuna mambo makubwa kuliko haya yanafanyika.

Ila jambo moja ambalo si la kushtua ni kuwa Zanzibar ipo duniani eneo ambalo mabadiliko yoyote ya kitabaka lazima yaingie, sababu mojawapo ikiwa ni Zanzibar ina serikali ya viongozi wa kiafrika ambao mfumo uliopo una ingia kwenye njaa ambayo inamfanya kiongozi mkuu kutii wakubwa (Wakoloni/mabeberu)
 
Kiongozi mimi nimeishi huko miaka karibu 3 hivi ..vijana wengi hawafanyi kazi, nenda mchina mwanzo na pale uwanja wa jeshi ni SOGA tuu
Swala la Mchina na pengine popote haliakisi uvivu. Mimi pia nipo Bara. Hawa wanaoitwa wavivu ndo wafanyabiashara kiasi kwamba mtu akisema tu huyu ni Mzanzibari - maarufu Mpemba - basi wanasema huyo ana pesa. Hivi pesa hupatikana kwa uvivu?
 
Kiongozi mimi nimeishi huko miaka karibu 3 hivi ..vijana wengi hawafanyi kazi, nenda mchina mwanzo na pale uwanja wa jeshi ni SOGA tuu
Jang'ombe, Kikwajuni na Miembeni ndio usiseme.
 
Swala la Mchina na pengine popote haliakisi uvivu. Mimi pia nipo Bara. Hawa wanaoitwa wavivu ndo wafanyabiashara kiasi kwamba mtu akisema tu huyu ni Mzanzibari - maarufu Mpemba - basi wanasema huyo ana pesa. Hivi pesa hupatikana kwa uvivu?
exceptions
 
Sawa kwa hiyo umekubali wabantu asili yao ni bara siyo Zanzibar
wew jamaa ni lijinga sana..

tangu lini ardhi ya zanzibar ikawa mali ya mtu wa mbal uko uarabuni?? hiv history wakat wenzenu wanasoma nyie mlkuwa wap?? icho kisiwa kabla ya ujio wa mwarabu kilkuwa na kitazd kuwa mali yal mbantu tu.

muingiliano wa jamii mbalimbali za kibantu waliokuwa watumwa na kuchanganyikana na waarabu ndlo sabbu kuu ya kupotea kwa asili ya ukabila wa kibantu ktk eneo hilo, na badara yake uswahil/tamaduni ngeni zikatamalaki na kufuta ile asili ya ubantu yaan asili ya wazawa wazamani wa eneo hilo pia asili ya wale wabantu waliotolewa tanganyika.

siku zote muingiliano wa jamii mbalimbali/tofaut ktk eneo moja matokeo yake ni kufa kwa tamaduni zao za kiasili na kuibuka kwa tamaduni mpya ambayo inakuwa mjumuiko wa hawo wanajamii, mfano ni kama mkoa wa dar es salam huwez sema ni mkoa wa watu fulan wakat kila kabila limejaza watu wake humo na wote wanazungumza lugha moja na wanatamaduni moja ya utandawazi

hivyo bas hata zanzibar ni mali ya mbantu, ni dhambi kubwa sana kumpa uhalali uyo mshenzi na muuwaji muarabu kuwa ndye mmiliki wa ardhi hiyo.

ni dhambi kubwa mijitu ngozi nyeusi kung'ang'ania muungano na mijitu ya uarabuni iliyowatesa na kuwauwa babu zenu, then waje waungane na wew kwa upendo gani walio nao? mbona mnajisahaulisha hivyo enyi wajinga na wavivu wa kufikiri? hao waarabu mnaowangangania ndye wale wale waliotesa ndugu zenu, ni wale wale isipokuwa majina tu.

tungepata viongoz wenye uchungu na mali za afrika ilitakiwa tufukuze wageni wote uko zanzibar, mali zote zimilikishwe kwa mzanzibar mweusi tu, na Muungano ufanywe strong kwa kudumisha umoja zaid na kukemea mila zakishenzi kutokea uko ugenini,

jarbuni kujifunza kwa wachina,wazungu,wahindi na wakorea huwa sio rahis kwa ardhi zao kuleta maujinga kama tunayoyaleta watu wa Tz bara na TZ visiwani...badirikeni
 
".....akapewa milioni 3 akamaliza kesi tena akaikimbia Zanzibar akaenda Tanga ,kesi ikaisha"....

Pesa pesa pesa.....

Sababu hizohizo za "soko huria" ndizo zinazofanya TUWEKEZE KATIKA UTALII.....

Tulinde tu watoto wetu....
Tulinde tu wadogo zetu....


Siempre JMT
 
Hujui kuwa Zanzibar ndiyo inayoongozwa kwa vitendo vya ushoga katika ukanda huu? Hujui kuwa viongozi wa dini wengi ni washiriki wa ushoga hasa wale wenye asili ya mashariki ya kati?
You are too personal and less informed ....

Kwa hiyo Zanzibar ndio inayoongoza kwa ushoga kuliko sehemu nyingine?!!

Kwa takwimu na tafiti ipi haswa?!!!

Siempre JMT
 
Kuna sehem imeandikwa jf ni ya tanganyika? Raisi wako alivosema kama yeye ni Mzanzibar ungelikua una la kumjibu ungemwambiaje???
Sijui kwa nini hampendi tujinasibishe na uzanzibari wetu?
Si wote ndugu yangu...

Binafsi mimi ni mbara na sichukii kuwaona wazanzibari mkijinasibisha na taifa lenu kwani ni baba wa taifa hayati JKN ndiye aliyetuachia mafunzo hayo nami nimeyaelewa vyema na sitaki yabadilike kwa mustakabali mwema wa muungano wetu......

Dola la Tanganyika lilishazikwa na baba wa taifa Mwalimu Nyerere...anayetaka kulifufua AVUNJIKE MGONGO WAKE.....🙏

Siempre JMT
Siempre Serikali Mbili Za JMT,aaamin aaaamin🙏
 
Kwa hiyo hivyo vitendo vibaya ulivyosema vinalindwa na imani za dini ?!!!
 
Huyu ni mtanganyika alie create account akajinasibisha na uzanzibari l.
Wamekuingizia ujinga nawe umejibu UJINGA Khaaaa😳😳🤣🤣

Kumbe unafanana na hao wajinga?!!

Tatizo letu pande zote za muungano zina baadhi ya watu wajinga?!!!

Ni kwanini tusijadili matatizo yetu bila ya kuonesheana vidole ,kubagazana na kushambuliana?!!!

It seems wengi wetu hatujaijua VYEMA thamani kubwa ilioje ya TAIFA LA TANZANIA na watu wake wa pande mbili.......

SIEMPRE SIEMPRE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI ZAKE MBILI ADHIMU ,aaamin aaaamin aaaamin🙏
 
Ndiyo umasikini upo na Muungano umeshindwa kuumaliza. Sasa Muungano una faida gani kwa Zanzibar?
Duuuh wewe jamaa unashangaza sana....yaani muungano hauna faida?!!! Khaaa 😳😳🤣🤣

Jikite kwenye mada....
Mada si muungano....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…