Awiaman ooza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 512
- 866
Ilikukuta nnBora hilo ni uzembe wa mchunwaji.
Vp pale baba fedha zako zinapotumika kufanya abortion za binti yako huku mkeo (mama yake) ndo akiwa director? Siyo 1 au 2,kila mwaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikukuta nnBora hilo ni uzembe wa mchunwaji.
Vp pale baba fedha zako zinapotumika kufanya abortion za binti yako huku mkeo (mama yake) ndo akiwa director? Siyo 1 au 2,kila mwaka.
Yaani mkuu, mkeo anakuja (baba flani,hali ya mtoto ni mbaya,kuna magonjwa mengi ya sana ya kike kike ni hatari na tungechelewa kidogo tabibu kasema angekufa) na hapa Dr keshapewa chake ili wewe ukija usijue uhalisia.Na ndo wanakatana vizazi sana
Embu nielezee kidogo mkuuuInatia mashaka, ila dem na mamdogo wake wanalika vzr tu, hio nna ushahidi nayo. Na ukute wamepishana umri kdg
Haaahaaa umeandika kwa hasira sana.Ninyi ni mafala, hapo mlitakiwa wanaume wooote muungane alafu mmoja amwambie mama mkwe nina shida fulani njoo baada ya hapo mngetokea wote mkamla mama na mwanae huku wakishuhudinana nyambafu
HakikaAsa unakuaje na mawasiliana na mama mkwe ilihali hujatoa mahari ?
Wonder shall never end
Ndo nimejua leoUnajua kuna wenzetu wanapenda sana hadi upendo una overflow unaenda kwa ndg wa karibu na wazazi wa binti
Mie namshangaa 5m per kila mwaka kwa Mwanamke ambaye hakuna cha ziada anachokupa zaid ya Sex ni ujinga.10m kadumu na huyo dem kwa kama miaka miwili hv.
Gawanya hio hela kwa miaka miwili ndo utaelewa, na kama unakaa mjini itakua rahisi zaidi kuelewa.
Personally simshangai sana
Mimi ndo maana nauita huu ni UJASUSI, kolabo ya mama na binti yake ikikuamulia utajutaYaani mkuu,mkeo anakuja (baba flani,hali ya mtoto ni mbaya,kuna magonjwa mengi ya sana ya kike kike ni hatari na tungechelewa kidogo tabibu kasema angekufa) na hapa Dr keshapewa chake ili wewe ukija usijue uhalisia.
Kumbuka shughuli zako zimesimama.
Hizi huwa ninazinyaka kutoka kwa marafiki wa kina mama wa watoto wa kike.Ilikukuta nn
Kuna watu wanapenda. Huyo sio mimi siwezi mwongelea.Mie namshangaa 5m per kila mwaka kwa Mwanamke ambaye hakuna cha ziada anachokupa zaid ya Sex ni ujinga.
Sema ukweli ww ushawah kuwapa Wazazi wako hicho kias cha pesa?
5m kwa Mwalimu wa serikalini ni mshahara wake wa Mwaka mzima.
Ndio maana nikasema ni UJINGA.Kuna watu wanapenda. Huyo sio mimi siwezi mwongelea.
Unataka kusema hukusikia yule mmakonde alonunua range mbili hadi akazipa jina la malaya fln humu mjini aloliwa hadi na watoto wadogo?
Kuna wenzetu wanapenda kupitiliza
Wanaozoeana na mama wakwe zao wana moyo sana, tulio na fantasy za ajabu hatuwezi. Huyu jamaa kama angemuoa huyo binti basi angekuja kumla mama mkwe siku mojaNi marufuku mama mkwe kuomba pesa direct kwa mkwe,apitie kwa mwanae na huo ndio utaratibu,ila kutumiwa ndio anatumiwa direct kutoka kwa mkwe.
Kuzoeana na mama mkwe sio vyema kimadili