Wanaume hasa vijana wamekuwa wasanii wasanii sana kuchezea mabinti zetu, sasa tulichofanya sisi baba zao ni kuwashirikisha wake zetu wawe makini sana na hawa vijana matapeli.
Kwa hiyo ukiona mfumo wa kolabo kati ya mama na binti yake basi tambua kwamba na mie mandigi tumo kwenye background.
alaaaa.
Kwa hiyo ukiona mfumo wa kolabo kati ya mama na binti yake basi tambua kwamba na mie mandigi tumo kwenye background.
alaaaa.