Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Rafiki alipigwa na kitu kizito Sana duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, kabila gani hao? Mkoa gani?Mchezo huo nilikula wa5.
Mama na mdogo wake na mabinti wao watatu.
Waliambulia lotion tu na pombe.
Mpk leo wana majina yao wamenibatiza hata siyaelewagi.
Sikutoa senti 10
Hii imeenda [emoji28][emoji23]
Mafara mpo wengi sana10m kadumu na huyo dem kwa kama miaka miwili hv.
Gawanya hio hela kwa miaka miwili ndo utaelewa, na kama unakaa mjini itakua rahisi zaidi kuelewa.
Personally simshangai sana
@Yericko Nyerere kumbe kuna ujasusi kwenye mahusiano ya kimapenziWanajamvi habari za muda huu.
Wanaume wenzangu tuwe makini sana kuna aina mpya ya ujasusi unaendelea yan binti anakutambulisha hadi kwa mama yake kumbe wana lao jambo ili wakuaminishe na uchunwe zaidi ukiwa huna hofu yyt. Na kumbe behind the scenes mko zaidi ya watatu na wote mmetambulishwa kwa mama mtu. Mama mkwe nae akipata shida anakucheki moja kwa moja na wewe unatoa tu kumbe majasusi wakubwa
Yamemkuta rafiki yangu na nikamuuliza kama naweza andika hii story JF akasema niandike tu.
Iko hivi, Ijumaa jioni iliyopita nilikutana na mdau wangu mmoja mpambanaji halafu mjanja sana ila huwa ana kidemu kilimpa nini sijui akakiganda sana. Sababu kila baada ya gambe hajawahi kutoka na malaya pale. Sasa jana tumepiga gambe akaja barmaid mpya maeneo yale nikashangaa jamaa kaniwahi kuanza ku-flirt na kale kabinti hadi akakaambia kaagize kaje pale.
Baadae dem akatoka kwenda kuhudumia wateja ikabidi nimuulize jamaa yangu kwanini leo kaniwah wakati anajua hizo ni nyama zangu kabisa na sio kawaida yake. Jamaa si ndo akaanza kufunguka. Jamaa anasimulia
......
Kaka bwana yule dem si alituchezesha akili wanaume watatu akishirikiana na mama yake. Dem nikiwa nae alikuwa ananipa mapenzi sio ya dunia hii, nilikuwa najiona peponi. Baada ya mwezi akasema akanitambulishe kwa mama yake nami kwa kuwa nilishakolea nikasema sio mbaya, dem tukapanga weekend moja nikaenda alipopanga mama yake nikaandaliwa msosi mkali na bahati nzuri alikuwepo mdogo wake wa kiume likizo(huyu dogo ndo alichoresha game bila kujua) so ikawa shangwe sana kama vile ndo natoa mahali kumbe ni kutambulishana tu.
Basi bwana hio siku jioni nikawasha chuma tukarudi nyumbani na huyo dem vzr tu. Baada ya wiki mama mtu akanipigia simu ameenda kuchukua mzigo wa vitenge ila kapungukiwa laki 7 anaomba nimsaidie hata kdg, sasa kidume kwa sifa zote ili kujenga uhusiano mzuri na mama mkwe nikatuma laki nane kabisa na ya kutolea.
Mama mtu akafurahi na kumbe alimwambia mtoto wake (hapa baadae akajua walipanga hii njama toka mwanzo) jion yake binti katoka kazini akaja kwangu na shangwe kibao, alinipeti, tukapika, yaan tukawa kama wahindi kwa masaa yale. Game lake kaka nilokuwa napewa hata ukipewa wewe naapia hutomuacha yule dem.
Baada ya mwezi nilipigwa tena kizinga cha 1m nikatoa. Kuanzia hapo vikawa vizinga kona zote, sio kwa mama mtu, sio kwa mtoto mtu. Nikazoea anyway sababu najua vizuri vina gharama na si unamjua yule dem alivyokuwa mzr na kabarikiwa kila kitu.
Sasa bwana kaka nimekaa hivyo mwaka na nusu nikaachana na mamalaya kabisa nikiwa najua nikimaliza kale kamjengo kangu nitangaze ndoa kwa huyu binti, si ndo mwezi February mwaka huu nikapata tips.
(mimi: enhee master ikawaje ukapata tips)
Si unakumbuka nilisema ana mdogo wake wa kiume alikuwa likizo siku naenda kutambulishwa, sasa huyo dogo alimaliza chuo mwaka jana akanicheki nimpe mchongo ila nikamwambia sina kwa sasa labda ntamuangalizia kwa wadau. Mwaka jana mwezi wa 12 zikatoka chance mahala nikamtafuta dogo nikamconnect hadi akapata kazi na mshahara mzr tu. Hapo hatuongelei kitu chochote khs dada yake.
Sasa dogo akaja kuchomesha mchezo, unajua pale analipwa laki 6 kwa mwezi, ni mshahara mzr kwa anaeanza maisha na fresh diploma graduate. Kumbe dogo roho ikawa inamsuta akijua mimi nilishaachana na dada yake(kumbe bado) lkn bado namsaidia na ndo maana hata hakuwahi kuongelea khs dada yake muda wote namtafutia kazi.
Kumbe mimi bado sijaachana na dada yake, dogo alifikiria nimeachana na dada ake sababu mwaka jana huo mwezi wa kumi jamaa mwingine alitambulishwa pale na dogo akiwepo na akashuhudia.
Sasa dogo siku moja nikapita anapofanyia kazi ilikuwa jioni nikawa na ishu pale, nlipomaliza nae akawa anatoka anarudi kwa mama yake nikamwambie achukue lift akaweka visingizio, sijui ni nn tu kikanilazimisha nikamwambia nitampitisha huko anakoenda, dogo akaingia kwenye gari.
Sasa mule ndani tukawa tunapiga story, mie huwa mkimya sana, dogo akaanza kunishukuru pale eti nina moyo wa ajabu sana, mie nikasmile nikamuuliza kwanini. Bwana kaka dogo si ndo akayamwaga manyanga pale akijua mie nishaachana na dada sababu kuna mtu ashatambulishwa tena kumbe mimi jana yake nimetoka kumtomber huyo malaya kaka.
Kizuri mie ni mtoto wa mjini, ungekuwa wewe kaka ungepanic sana (nikacheka kweli hadi nikasimama watu wakaanza kushangaa), hapana kaka usicheke huo ndo ukweli. Sasa baada ya kusimuliwa pale nikamjibu huyu dogo kwamba, asiingilie haya mambo, ni kati ya mm na dada yake tu, hata kama tumeachana mie ntamsaidia kama naweza. Dogo akashukuru sana.
Sasa nikaanza kufanya upelelezi ndipo nikaja kugundua tupo watu watatu pale na wote dem anatuhudumia swaaaf kabisa kiasi kwamba kujua ni ngumu, yule dem ana simu mbili, iphone 12 (nilimnunulia) na samsung nilomkuta nayo. Kwa muda wote hakuacha weak point yyt ilionifanya nimuhisi anacheat zaidi ya kumkwepa tu baadhi ya vizinga mara chache saaaana.
Ila tu niseme kaka huyu binti kama sio jasusi basi wamuajiri huko, alinichanganya kiasi kwamba mtoto wa mjini nikanasa kabisaaaaa. Huwa nafikiria aliwezaje kucheza na wanaume watatu kwa wakati mmoja bila kuacha traces lkn nashindwa kuelewa, pia mama yake alimpa ushirikiano sana sababu kuna muda unapiga simu anakuwa nayo mama yake anasema dem kaenda kufanya so and so, nadhani hapo ndo anakuwa anakatikia bolo jingine.
Baadae nilipomaliza upelelezi nikamuita dogo nikamsimulia ili ajue tabia ya mama yake na dada yake, sababu dogo alikuwa hajui kitu na ndo alinisaidia (japo bila kujua) kusoma mchezo ulivyokuwa. Baada ya hapo nikakinukisha pale kwao nikamwambia yule mama alipe hela zote nilizompa la sivyo ntasambaza stori kwa jamaa wengine,. Na kumuharibia cv pale mtaani.
Bwana kaka yule mama kala zaidi ya 10m zangu toka nitambulishwe pale kwa kisingizio cha duka lake la nguo. Kumbe mama mjanja bwana, akasema nikithubutu hivyo watanifungulia kesi eti nilitaka kumla mama na mtoto, nikaishia kuwapotezea tu, lkn akilini nikasema hawa ni majasusi kwelikweli.
.....
Mwisho wa kunukuu.
Wanaume wenzangu nimeandika story kwa herufi kubwa ili kuonesha msisitizo, hii ni true story kutoka kwa jamaa yangu humuhumu mjini maeneo ya Tabata.
Nimeona nimalize weekend kwa kuwajulisha hii aina mpya ya ujasusi.
Sikutaka mambo ya "Itaendelea" ndo maana nimeandika ikawa ndefu sana, someni mjifunze kitu.
I see , ni kweli kabisaUkitaka Kujua tabia za binti alizozificha mtizame mama yake mzazi alivyo.
Binti ambaye mama yake sio mkali mkali ni kimeo. Mama mtu makini hawezi kutambulishwa kwa mpenzi wa binti yake. Yaani mzinifu wa binti yake anaanzia wapi kuwa na urafik na mzazi
Kuna siku mama mkwe alinipigia simu tukaongea baada ya salamu Akaniomba kiasi cha pesa nilishangaa Sana tena bila ya kumpa taarifa mama yake ,Ni marufuku mama mkwe kuomba pesa direct kwa mkwe,apitie kwa mwanae na huo ndio utaratibu,ila kutumiwa ndio anatumiwa direct kutoka kwa mkwe.
Kuzoeana na mama mkwe sio vyema kimadili
I second you 🙏Nyuz za hivi muhimu sana kuwakumbusha vijana wasiajiachie sana na waache kutafuta sifa za kijinga ukweni. Watafte sifa Kwa sababu maalum tu[emoji4]
Mambo ya Kuhudumia hapo ndio wengi wakijua kuwa huwa wanasalitiwa huwa wanapata kisukari , kuwa Mtoto wa mjini hakikisha unajua kutomba vizuri mwanamke awe anakupa wewe pesa zake ili hata ikitokea siku mkaja kuachana wewe unakuwa hakuna kitu kikubwa zaidi ulicho kipotezaWw sio baharia.Fullstop.Matumizi ya pesa kwa pisi unayoelewa sio issue,Issue ni kufikiri ww ni kidume.Iko hivi ukipenda demu ukamuelewa hudumia ila usidhani wala kuamini uko mwenyewe.Tuko wengi na vipaji tofauto.na kuna mabaharia OG
Kuna family zina mambo ya ajabu Sana wazazi wao Wana influence mambo ya kijingaMiaka hiyo nilikuwa na mmoja huyo ana dada yake sasa huyo dada yake ana lijamaa hilo linaenda kwao mpaka linalala kabisa halafu mama mtu Wala haongei chochote, nilikuwa na mpango wa kuoa kabisa ila nilivyoshuhudia hilo niliruka futi mia
🤣🤣🤣Hii dunia ina visa vingi kinoma, yaani tangu nizaliwe sijawahi kushika hata milioni tano halafu kuna mtu anahonga 10m!
Acha basiii Mimi hata niwe millionear kiasi gani siwezi kumpa mwanamke pesa pasipo yeye kunipa pesa , yaani system yangu the way ilivyo siku zote natafuta mwanamke Ambaye tutakuwa tunapeana na nimeshakuwa nao wengi Sana ktk mfumo Wa namba Hiyo haiwezekani niwe natoa mamilion ya pesa na kumpatia mwanamke kisa uchi wake Tu aahghh huo ni usenge kmmk I'm not papuchi worshipperMzabzab we si unasemaga una kibamia kaka, unakosa vingi sana, haahaaahaa.
Wenye mibolo yetu likinyonywa kama linatafunwa hivi af likakaliwa style za kingoni, au ukasusiwa tackle na mtoto laini af namba nane utashindwaje kuhonga hadi Nissan Dualis ulonunua kwa mkopo ili tu upate huo utam kila siku?
Uko Sahihi Hao ni cancerOgopa demu wanaitana na mama ake "Shoga au mwenzangu"
Ni ultimate partners in crime.
#sherlock Holmes