Hii kolabo ya kijasusi kati ya mama na binti zao inakatisha sana tamaa vijana waoaji

Mchezo huo nilikula wa5.
Mama na mdogo wake na mabinti wao watatu.
Waliambulia lotion tu na pombe.
Mpk leo wana majina yao wamenibatiza hata siyaelewagi.
Sikutoa senti 10
 
Mchezo huo nilikula wa5.
Mama na mdogo wake na mabinti wao watatu.
Waliambulia lotion tu na pombe.
Mpk leo wana majina yao wamenibatiza hata siyaelewagi.
Sikutoa senti 10
Aisee, kabila gani hao? Mkoa gani?
 
Kataa mazoea na mama mkwe, hii agenda kila siku tunaiongelea jaman.....
 
@Yericko Nyerere kumbe kuna ujasusi kwenye mahusiano ya kimapenzi

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
both team to score and either team to win.
mama na mtoto= Tabora United
best yako= Utopolo
 
Jamaa yako fala sana, mi nilitaka kupigwa na baba mkwe aisee alichokipata mpk leo kaapa "nikikukamata utanijua mi nani"
Na copy nimewaachia kumbukumbu wachaga wale wamarangu pale kiborloni.
 
I see , ni kweli kabisa
 
Ni marufuku mama mkwe kuomba pesa direct kwa mkwe,apitie kwa mwanae na huo ndio utaratibu,ila kutumiwa ndio anatumiwa direct kutoka kwa mkwe.

Kuzoeana na mama mkwe sio vyema kimadili
Kuna siku mama mkwe alinipigia simu tukaongea baada ya salamu Akaniomba kiasi cha pesa nilishangaa Sana tena bila ya kumpa taarifa mama yake ,

Sasa hivi Mimi na Binti Yake tumeachana na ni baada ya kushtukia mchongo mapema kabla hata mambo hayajawa mengi , yaani inshort Binti alikuwa na bwana wake before yangu na Aliniahidi kuwa wataachana kumbe bhana Binti anajifanya double agent Yule Jamaa bado anamtomba na Mimi pia Nina mtomba siku 1 alikuja kwangu siakajichanganya kunipa simu yake maana hata yangu huwa anashika na anapenda Sana kuishika simu yangu

Basi baada ya kushika simu Yake ndio Nika kutana na text za huyo Jamaa anayemtomba Aisee 🙌 🤣 Nilichoka bad enough Jamaa Anataka kumtolea barua Binti ana niambia na Mimi nimtolee barua na sote tunajulikana Kwa mama huyo Binti imagine, 🤣 Nikabaini pia Yule Jamaa ni Fala ana msomesha Yule binti na kumuhudumia kama mke , Tuligombana Sana Hiyo siku nikamtimua , Vijana Tunapaswa kuwa makini Sana , Ila ninacho shukuru Kwa Yule binti Mimi ndio nilikuwa mjanja Nimekula pesa zake kama laki 7 hivi , zangu hajawahi Kula zaidi ya 50k , Alicho niudhi Tu nikutokuwa muaminifu bad enough she's still young, Na siku niliyokuta hizo text alipokuwa amekuja kwangu Nilikasirika Sana nikaamua kuwapigia simu Mademu wangu wawili nikawa naongea nao mbele yake Tukawa tuna kumbushiana tulivyo kuwa tuna tombana nilimpigia demu wa kwanza tukaongea wee nikampigia na wapili pia baada ya kumaliza maongezi Nika mwambia sio kwamba siwezi kufanya kama ulicho kifanya lakini nilikuwa nimechagua kumuheshimu tu demu akawa umekasirika eti ana sema nimemdharau Sana Yeye ulichofanya aliona kuwa ni sawa , period 😁 🙌 🤣

Wanawake ni wabinafsi Sana kmmk🚮
 
Ww sio baharia.Fullstop.Matumizi ya pesa kwa pisi unayoelewa sio issue,Issue ni kufikiri ww ni kidume.Iko hivi ukipenda demu ukamuelewa hudumia ila usidhani wala kuamini uko mwenyewe.Tuko wengi na vipaji tofauto.na kuna mabaharia OG
Mambo ya Kuhudumia hapo ndio wengi wakijua kuwa huwa wanasalitiwa huwa wanapata kisukari , kuwa Mtoto wa mjini hakikisha unajua kutomba vizuri mwanamke awe anakupa wewe pesa zake ili hata ikitokea siku mkaja kuachana wewe unakuwa hakuna kitu kikubwa zaidi ulicho kipoteza
 
Miaka hiyo nilikuwa na mmoja huyo ana dada yake sasa huyo dada yake ana lijamaa hilo linaenda kwao mpaka linalala kabisa halafu mama mtu Wala haongei chochote, nilikuwa na mpango wa kuoa kabisa ila nilivyoshuhudia hilo niliruka futi mia
Kuna family zina mambo ya ajabu Sana wazazi wao Wana influence mambo ya kijinga
 
Acha basiii Mimi hata niwe millionear kiasi gani siwezi kumpa mwanamke pesa pasipo yeye kunipa pesa , yaani system yangu the way ilivyo siku zote natafuta mwanamke Ambaye tutakuwa tunapeana na nimeshakuwa nao wengi Sana ktk mfumo Wa namba Hiyo haiwezekani niwe natoa mamilion ya pesa na kumpatia mwanamke kisa uchi wake Tu aahghh huo ni usenge kmmk I'm not papuchi worshipper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…