Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ni tapeli au?hakuna tajiri hapo
Ni tapeli au?hakuna tajiri hapo
Nishamtumia namba pm nasubiri muamala tu 🤸🏽♀️Changamka sistaa
sidhaniiNi tapeli au?
hapo umecheza poaNishamtumia namba pm nasubiri muamala tu 🤸🏽♀️
Mimi mnieleweshe bwana, neno moja sielewagi kichwa ngumu🥹sidhanii
Ukivunjika pingili za uti wa mgongo miezi sita inatosha kutakatisha hizo flexing unazoziongelea maana hapo hata kukanyaga Airport hautaweza zaidi ya kulala kwenye kitanda cha hospital muda wote na kula na kuamka kwako ni kwa msaada wanaokuzunguka sasa hapo ndio akili itakuambiia kua ule uliokua unaufanya kipindi kile ulikua ni ufala tu wewe sio lolote sio chochote Goddamn!!!Too much flexin Goddamn!!!!
Hakikisha unanunua mafuta ya Blue Band kabisa kabla ya kununua Mkate.Mimi mnieleweshe bwana, neno moja sielewagi kichwa ngumu🥹
Mhh hii kashesheHakikisha unanunua mafuta ya Blue Band kabisa kabla ya kununua Mkate.
Sijaona namba mimiNishamtumia namba pm nasubiri muamala tu 🤸🏽♀️
Amina, amina, amina. Umesali vizuri sana.Ukivunjika pingili za uti wa mgongo miezi sita inatosha kutakatisha hizo flexing unazoziongelea maana hapo hata kukanyaga Airport hautaweza zaidi ya kulala kwenye kitanda cha hospital muda wote na kula na kuamka kwako ni kwa msaada wanaokuzunguka sasa hapo ndio akili itakuambiia kua ule uliokua unaufanya kipindi kile ulikua ni ufala tu wewe sio lolote sio chochote Goddamn!!!
Kweli baada ya mwezi🥺Sijaona namba mimi
Thank you mkuuKulingana na maandishi yako naona uhalisia. Keep living
Ndio kakaKweli baada ya mwezi🥺