Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,662
Reaction score
3,017
Hii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa 😮‍💨💼

Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla 🤷🏽‍♂️

Juzi nilikuwa napitia account zangu, nikajiuliza hii ni balance au ni namba ya simu ya mtu 😂💰

Sio hata flex, ni reality tu imekuwa kubwa kuliko expectations za wengi.
Kuna watu wanapigania kuongeza mshahara, mimi napigania muda wa kupumzika… maana pesa yenyewe inaingia hata nikilala 😴📈
Ukishafika hapa, unagundua kazi kubwa sio kutafuta pesa… ni kujua utazitumia wapi.

Sina ratiba ya “kufanya kazi”, nina ratiba ya “kuishi”.
Kuna siku naamka naenda airport bila destination, nafika pale naamua leo niende wapi. Life inatakiwa ikuogope kidogo 😌✈️

Marafiki zangu wengi hawajui hata ninafanya nini, wanajua tu nipo “busy”.
Na ukweli ni kwamba busy yenyewe ni kupanga deals ambazo wao watazisikia kwenye news kesho 📊

Nishawahi kukaa sehemu nikasikia watu wanajadili hela kama ndoto… nikacheka kimoyomoyo, maana mimi ndio proof kwamba ndoto zikipewa discipline zinakuwa kawaida.

Hata stress zangu ni tofauti… sio ya bills au rent, ni ya kuchagua wapi niweke millions next 😮‍💨

Kuna mtu atasoma hii akadhani najifanya… lakini ukweli ni kwamba kuna level ukifika huongei sana, unaishi tu halafu wengine wana-interpret vile wanataka.
Ukiona kimya kimezidi, ujue mambo yameenda mbali kuliko maelezo 🤫🔥
Too much flexin Goddamn!!!!
 
Wakuu, kuna muda maisha yanabidi uyachukulie kama movie yako binafsi… na mimi niko Season 5 sasa, budget imepanda kuliko hata akili za watu wa mtaani 😎

Kuna watu wanaamka wanawaza breakfast, mimi naamka najiuliza leo nitumie gari gani… si zote zina tank full zinanisubiri tu pale parking kama askari wa heshima 🚘

Weekend siendi “out”, naenda country nyingine kidogo kupumzisha akili. Huku maisha yamekuwa simple sana, passport yangu imechoka kuliko mimi mwenyewe 😂✈️

Simu yangu? Acha tu… notifications zenyewe ni kama kelele za soko. Kuna deal zinaingia mpaka naanza kuzima data nipate amani kidogo. Ukiwasha tena, pesa imeongezeka 🤷🏽‍♂️💰

Kuna watu wanapanga maisha mwezi hadi mwezi, mimi napanga miaka 10 mbele halafu pesa ya leo inajilipia yenyewe. Hii level sio ya kubishana, ni ya kuobserve tu 🔥

Niliwahi kujaribu “kuishi kawaida” nikachoka ndani ya siku mbili. Nikaona hapana, hii life sio yangu. Mimi ni wa kuagiza maisha, sio kuomba nafasi ndani yake.

Na najua kuna mtu atasema “hii ni story tu”… sawa, endelea kufikiria hivyo. Wakati wewe una doubt, mimi nipo kwenye balcony ya floor ya juu nikiangalia city lights na kupanga next move 🏙️

Mwisho kabisa, usiniulize nafanya nini… ukijua sana utaanza kunichukia bure 😌

#LifeNiLevels #UsijaribuHiiNyumbani
 
Naona tayari😀
Screenshot_20251111-181333~2.jpg
 
Back
Top Bottom