min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ipo jukwaa la jokesangetakiwa mwishoni aweke maneno mafupi
hii thread ni chai msiichukulie serious.
Ipo jukwaa la jokesangetakiwa mwishoni aweke maneno mafupi
hii thread ni chai msiichukulie serious.
sihitaji fedha kijana,Weka namba uokote ila sharti upost muamara
Inapoteza uhondo. Ilibidi watu kama nyinyi muaminiangetakiwa mwishoni aweke maneno mafupi
hii thread ni chai msiichukulie serious.
sasa mkuu mbona unajisifia mwenyewe tena kwa ID yako ingine😅Watu kama nyinyi hapa mjini ndio mnahitajika
labda nikiwa nimelewa mkuuInapoteza uhondo. Ilibidi watu kama nyinyi muamini
Ipi hiyo?sasa mkuu mbona unajisifia mwenyewe tena kwa ID yako engine😅
😅😅😅labda nikiwa nimelewa mkuu
Kwanini mkuu?😂😂😂 mkuu unaujasiri sana
Najua ila nakupa tu kama zawadisihitaji fedha kijana,
mpe mtoto mwenye uhitaji instead of me.Najua ila nakupa tu kama zawadi
Aweke namba aokote, Tupo Johari Rotanna hapa tunapata vi-wine winemtoto wa kishua huyo anatak Savannah mbege atavomit
mpe mtu mwenye uhitaji instead of me.Najua ila nakupa tu kama zawadi
Nishawapa sana, Acha ujuaji weka namba uokotempe mtoto mwenye uhitaji instead of me.
Siongei sana. Weka namba uokoteManeno mengi sana
Ila hii ya kuwa letea kitumbua sijui imekaaje kaaje bwashee 😅Nawaletea vitumbua