Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

Siongei sana. Weka namba

😅😅😅 kwanini mkuu
Kiitumbua kabisa?
20260406_163150.jpg
 
Wakati naanza kusoma uzi wako nilikuwa naanza kujaa kwenye mfumo hadi nikawa nawaza au ndo zile foreksi tredingi na analisisi zako za wance ati twaisi pa wiki ndo zinakulipa.

Ila nilivoona kama vile mchuzi unaanza kuwa mwingi kuliko nyama nikaishia kusikitika tu
 
Band4Band? Hapa Ni Lifestyle 4 Lifestyle, Usijichanganye 😤💎

Wakuu, kuna watu wanaongea “band4band”… mimi naangalia tu kimya, najua hii ligi sio ya kelele, ni ya kiwango 🥶

Gari zangu sio za kupiga picha Instagram, ni za kuchagua mood.
Asubuhi natoka na Mercedes-Benz G-Class kama nataka heshima ya utulivu… jioni nikichoka seriousness, nachukua Lamborghini Urus kidogo nisonge na upepo 😮‍💨🚘
Fuel? Hilo swali linaulizwa na watu ambao bado wanahesabu.

Vitu vya kung’aa siyo mapambo kwangu, ni kawaida.
Wrist yangu imezoea Rolex, sio kwa show off, ni kwa sababu time yangu ina thamani kuliko hiyo saa yenyewe ⌚💎
Chain ya shingo? Ina uzito kuliko maamuzi ya wengi, na yote ni ice safi 🧊

Mavazi sina “outfit”, nina statements.
Leo ni Louis Vuitton from head to toe, kesho naingia Balenciaga kama niko kwenye runway ya maisha.
Viatu? Siwezi hata kuvaa kawaida tena… ni Dior au Off-White, vingine vinabaki kwa watu wa “budget thinking” 👟

Naelewa kuna mtu atasema “hii ni kupost tu”… lakini ukweli ni kwamba kuna level ukifika, hata ukijaribu kujishusha, maisha yenyewe yanakataa 😌

Band4band?
Lete yako nione kama zinaongea lugha moja na zangu… maana hapa sio kelele, ni quality inayojieleza yenyewe.

Kama hujafika hii level, tulia ujifunze… usikimbilie kucompete na kitu hujaielewa.

#Lifestyle4Lifestyle #NoDebate #HiiNiDifferentLeague
 
Wakati naanza kusoma uzi wako nilikuwa naanza kujaa kwenye mfumo hadi nikawa nawaza au ndo zile foreksi tredingi na analisisi zako za wance ati twaisi pa wiki ndo zinakulipa.

Ila nilivoona kama vile mchuzi unaanza kuwa mwingi kuliko nyama nikaishia kusikitika tu
Acha dharau kijana, weka namba uokote.
Jamaa anadai hajui matumizi ya pesa zake.
 
Back
Top Bottom