Hii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa 😮💨💼
Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla 🤷🏽♂️
Juzi nilikuwa napitia account zangu, nikajiuliza hii ni balance au ni namba ya simu ya mtu 😂💰
Sio hata flex, ni reality tu imekuwa kubwa kuliko expectations za wengi.
Kuna watu wanapigania kuongeza mshahara, mimi napigania muda wa kupumzika… maana pesa yenyewe inaingia hata nikilala 😴📈
Ukishafika hapa, unagundua kazi kubwa sio kutafuta pesa… ni kujua utazitumia wapi.
Sina ratiba ya “kufanya kazi”, nina ratiba ya “kuishi”.
Kuna siku naamka naenda airport bila destination, nafika pale naamua leo niende wapi. Life inatakiwa ikuogope kidogo 😌✈️
Marafiki zangu wengi hawajui hata ninafanya nini, wanajua tu nipo “busy”.
Na ukweli ni kwamba busy yenyewe ni kupanga deals ambazo wao watazisikia kwenye news kesho 📊
Nishawahi kukaa sehemu nikasikia watu wanajadili hela kama ndoto… nikacheka kimoyomoyo, maana mimi ndio proof kwamba ndoto zikipewa discipline zinakuwa kawaida.
Hata stress zangu ni tofauti… sio ya bills au rent, ni ya kuchagua wapi niweke millions next 😮💨
Kuna mtu atasoma hii akadhani najifanya… lakini ukweli ni kwamba kuna level ukifika huongei sana, unaishi tu halafu wengine wana-interpret vile wanataka.
Ukiona kimya kimezidi, ujue mambo yameenda mbali kuliko maelezo 🤫🔥
Too much flexin Goddamn!!!!