Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

CHAHALI..KWA HOJA ZAKO NA ZA WENGINE INAONEKANA NI KWELI KUWA JIWE ALIUAWA BAADA YA KUTOKUBALI KUWAACHIA VIGOGO WA MSOGA NA TEAM ZAO KULA NCHI YETU KIUBWETE..NA WALIANZA KWA MUONDOA MKAPA AND THEN YEYE.UNADHANI KWA KUMUONDOA JIWE MAISHA YA UBWETE YATARUDI AU NDO TUTATUMBUKIA?NA JE NINI KIFANYIKE TUSIRUDI NYUMA LICHA YA MSOGA TEAM KUWA INAONGOZA..NAOMBA ANALYSIS




 
Rubbish!
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
Acha kujidanganya na hadithi za kufikirika ,hao watu unaosema " wenye nchi yao"hawapo!

Magufuli hakuna aliyemtengeneza kuwa Rais hizo ni hadithi za wachumia tumbo fulani tu!
Mimi binafsi nilipata kuongea na Magufuli miaka kadhaa kabla ya kugombea Urais na nikajua dreams zake na calculation zake!

Magufuli angekuwa na papara ya Urais kama January na Mwigulu angegombea Urais 2005, kumbuka ndiye alikuwa askari was mwavuli wa Rais Mkapa,lakini alijua mipango yote ya na Lowassa na JK asingetoboa!

Wanaojua siasa wanajua aliyempa Magufuli Urais ni Lowassa! Magufuli alijua hilo hadi anakufa na muda wote alimuheshimu sana Lowassa! Kama hujui basi leo jua hilo!

Magufuli alinufaika na ugomvi wa Kikwete na Lowassa.Lowassa alimzidi Kikwete mipango na Kikwete alimzidi Lowassa madaraka.

Lowassa kupitia Wajumbe aliokuwa nao kama 306 hivi kwenye ile NEC ndo wakampa kura Magufuli kwa hasira na maelekezo ya Lowassa.

Hivyo huo uongo wa eti Magufuli aliandaliwa kuwa Rais acheni labda mdanganyane na akina Paschal Mayalla!
 
Yaani unasema ungewa wewe ungeipiga chini Sgr na bwawa la umeme..Kama nani?yaani hera zote zilizoteketa utwambie kwa kuwa miradi ilianzishwa na magufuri basi iachwe..harafu sisi tukuangalie tu ..wewe kama nani?
Asingemaliza mwezi angeondoka zake kuelekea kuzimu!!
 
😍😍πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ™πŸ€²πŸ€²πŸ‘πŸ‘
 
Mwalimu Nyerere alifariki baada ya miaka 15 ya

kusataafu......

Mkapa amefariki baada ya miaka 15 ya

kustaafu.....
Hakuna relation kati ya hizo number. The issue ni kwamba wasingeweza kumuondoa 17/3 kabla ya Anko. Anko hakuwa tayari kuona 17/3 anaguswa kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…