Leta na wewe unutopolo!Utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta na wewe unutopolo!Utopolo
Acheni wivu. Mtakufa kwa kinyongoKama ana akili timamu ambazo zinaweza kuchakata mambo sawa sawa atakuwa amekuelewa....!!
You got it all wrong. JPM was JK's candidate. Jk aliua ndege wawili kwa JIWE moja in 2015. On one side, kwa kusimama na JPM aliua uwezekano wowote wa hasimu wake Lowassa kujipenyeza kwa mgongo wa nyuma katika "tano bora" ya mgombea urais wa CCM. Kwa upande mwingine, JPM made a perfect fall guy. Jk knew JPM had some serious health issues, and he wouldn't last long kwenye urais. Lakini by the time he's gone, Watanzania wangekuwa wanamkumbuka Jk licha ya utawala wake kuwa wa kifisadi kupita maelezo. And that's exactly what happened. Badala ya watu kushukuru kwamba angalau under JPM sasa Tanzania sio major importer and exporter wa sembe, au sio major hub ya arms and people trafficking, watu wakamkumbuka Jk kwa vile "vyuma vilikaza" under JPM. Na hata hapa JF watu wakatamani "bora JK." Wapinzani nao wakaimba wimbo huohuo.
Kuna "makosa ya makusudi" kwenye hoja zako. Moja ni kudai "PM wa kwanza wa Jk, yaani Lowassa, alikuwa anafahamu wapi taifa linatakiwa kufika." Really? Kwa ufisadi wa Richmond? 🙄
That aside, Jk alimtengeneza JPM kuja kuwa rais wa kulaumiwa, not essentially kwa sababu he was a fearless tyrant, bali kwa vile katika kusafisha madudu ya mtangulizi wake, akageuka adui wa Watanzania wengi. Watanzania wanapenda utelezi. Wanataka kuamka saa 4 asubuhi huku fedha za kifisadi zinamiminika kwenye akaunti zao. Wanapenda kuwa na pato la ziada la kuwawezesha kumudu kuwa na nyumba ndoto zisizohesabika. Kuishi maisha ya kitajiri pasi elimu wala ajira kuna hitaji moja muhimu: uhalifu.
Long story short. Haya yote unayoshuhudia muda huu yalitengemezwa kabla JPM hajaingia madarakani. Ofkoz kuna wakati hata Jk mwenyewe was worried kuwa labda alifanya miscalculation kum-pick JPM as a fall guy, but the end justified the means.
Here we are again, Jk is back at the helm.
Hii ni condensed version of a very long episode, which essentially started in 2005. Panapo majaliwa, you'll read it in a book. Kwa sababu tusipoweka rekodi sawa kwa njia ya maandishi, sio tu wazushi watakuja na stori "za kusafishana" bali pia vizazi vijavyo havitoweza kuelewa kwanini nchi yao ipo the way itakavyokuwa.
Finally, kama hadi leo hakujawa na jitihada za kuangalia "the ugly side of Mwalimu's ujamaa/rule," kama ambavyo tawala za Mwinyi, Mkapa, na Jk hazijawekwa under microscope, ni ngumu kufahamu "the ugly side of JPM," including how hiyo miradi unayosema ni ya maslahi ya taifa ilivyogubikwa na ufisadi mkubwa na ilitekelezwa bila kujali ridhaa ya wananchi kupitia wawakilishi wao bungeni. To make matters even worse, tofauti na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jk, kwa JPM kuna suala la "kulinda legacy yake." Na ukigusa tu mapungufu yake hata ya kibinadamu, tarajia mashambulizi ya nguvu from watetezi wake, most of whom bado hawaamini kuwa they guy is actually gone for good.
😳😳😳😳😳😳😳🤣🤣🤣Utopolo
Rubbish!Kazi kweli kweri[emoji57]! lakini katika maelezo yako naona umetaja mambo waliyofanya au waliyotakiwa kufanya marais waliopita, sasa hapa January yeye anaplay role kama nani? Kama rais wa nchi au kama waziri au mshauri wa rais?Your clarification please!
Lakini nkwambie kitu, hata ningekuwa mimi nimekabidhiwa hii nchi baada ya kifo cha Magufuri hii miradi yake ningeipiga chini ndani ya sekunde.Sio kwamba haina tija ila ukweli kama we mwenzagu ni mzazi au una watoto basi utakuwa unalijua hili.Siku yoyote mtoto akivaa ndala zako kama we ni mzazi ambaye usingependa kuja kuaibika lazima huyo mtoto umfinye kidogo maana kuna siku anaweza toka na nguo yako ya ndani na kaivaa kichwani na huko akijua yupo baba mkwe au mama mkwe.Then, ikawa aibu kwako.
Ndio Magufuri alifanya kile alichoweza lakini ukweli ni kwamba ile miradi mingi ilikuwa inatuzidi uwezo au mda wa kuwa implemented ulikuwa bado.Nakupa mfano ambao ni practical, leo hii unasema unanunua ndege ati ufufue shirika la ndege.Hivi kuna watu wanajua kwamba usafirishaji wa anga ni ustaarabu wa juu sana kiasi kwamba inakubidi uwe tayari umemudu land transportation, water transportation ndio uweze kufikiri mambo ya anga?
Anyway, kwa kifupi sana nadhani January sio wa kubeba hizi lawama.Najua wajomba wanaweza kuwa wanajipanga kufanya yao lakini kosa si la utawala wa awamu ya sita bali kosa lilianza toka mwanzo kabisa toka enzi za mwalimu
Tunamsaidia huyo ndugu yako ili aweze kuendelea kuwa Waziri mzuri hatuna kinyongo naye lakini tunajua kuna watu wanampotosha ili aharibikiwe!!Acheni wivu. Mtakufa kwa kinyongo
hovyo. Malalamiko kila wakatiTunamsaidia huyo ndugu yako ili aweze kuendelea kuwa Waziri mzuri hatuna kinyongo naye lakini tunajua kuna watu wanampotosha ili aharibikiwe!!
Hadithi yako inatufundisha nini?Kaka Janu shikamoo.
Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu.
"Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate na ana ulinzi mkali sana. Hatimaye, JPM akawa president.
JPM aliwekwa pale kwa ajili ya kusimamia kwa dhati, nguvu, na kwa kutumia kila aina ya njia, utekelezaji wa mipango mingi ya kwenye makabati. Hii ni mifano ya miradi ya nchi ambayo siyo ya JPM na ambayo imefungamana na national interests including national security.
1. Jeshi na taasisi za kiusalama kuwa Dodoma PLUS serikali kuwa Dodoma.
2. SGR
3. Bwawa la Mwl Nyerere
4. Ndege, meli, bandari, na miundombinu mingine mingi mikubwa.
5. Mapambano ya kisayansi ya ufisadi na masuala ya usalama wa taifa.
Hii miradi ilianzishwa na Mwl Nyerere. Mzee Mwinyi hakuifanya sana kwa sababu Nyerere aliacha taifa masikini sana kwa sababu ya sera zake za uchumi na vita ya hovyo na ya kibinafsi ya Uganda. Mzee Mwinyi akashindwa pia kwenda mbali maana alikuwa legelege na ufisadi pia ukaitafuna serikali yake. Ila sera zake ziliitoa nchi katika mateso ya uchumi wa Nyerere kwa kiasi fulani.
Mkapa had a focus. Alikuta nchi haiko stable. He inherited an inflation of 37%. He brought it to 4.1%. Kwa bahati mbaya, mwaka 1995, baada ya kuwa candidate wa CCM, sherehe yake ya kumpongeza kuwa candidate ilihudhuriwa na kijana wa miaka 25 hivi, anayeitwa Rostam. Mimi ninaamini, Rostam ndiye aliyemharibu Mkapa. Mambo aliyotakiwa kufanya Ben, ni pamoja kuhamia Dodoma na alifanya hiyo kazi kiasi flani, miundombinu ya kimkakati, yes he did kiasi chake, lakini pia swala la energy na ulinzi na usalama. Hakufanikiwa sana maana nguvu nyingi zilikwenda kuimarisha uchumi kwanza. Kilichomsaidia ni kuwa na Governer wa Central Bank ambaye alikuwa ana uwezo mkubwa sana kichwani na ambaye alikuwa practicing economist. Hakuwa mwalimu wa uchumi kama hawa waliokariri makaratasi and several western economic models. Hawajui hata nchi inataka nini.
Mkapa alipoondoka, nchi ilikuwa imeonyesha mwelekeo mkubwa sana wa kiuchumi. JK alikuta hazina imeshiba. Alianza kutekeleza miradi ya kimkakati kwa kiasi chake lakini hakufanikiwa. Kwa mfano, alitamani kujenga SGR but akawa hana pesa. Bwawa la umeme hakuwa na pesa lakini pia alikuwa ni darling wa western world. Hakutaka kuwakwaza wakubwa. Kwa bahati mbaya, utawala wake ulighubikwa pia na ufisadi ulioshiba na ajali nyingi za kujitakia za kisiasa. PM wake wa kwanza angalau alikuwa anafahamu wapi taifa linatakiwa kufika. Hata hivyo, yeye na mwenzake, walijikuta serikali yao inakosa focus mapema sana. Maana walitaka kufanya kila kitu. Taifa lilisogea lakini at a declining pace! Sasa kaka January, baada ya kutokueleweka kwa direction ya taifa, ndipo "Wenye nchi yao", wakaja na mpango wa kumpata mtu ambaye siyo tu kwamba ni mwendawazimu, lakini atatekeleza mambo yote yaliyoko kwenye makabati. Mimi kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini, JPM aliandaliwa kwa ustadi mkubwa sana mwishoni au katikati ya mwaka 2009. Na aliyetumika kukamilisha mwanzo wa huo mpango wa yeye kuwa President alikuwa ni Premier Pinda. Mizengo alitekeleza bila kujua. Na baada ya mizengo kutekeleza, akaachwa pembeni. Wakaendelea na plan yao.
JPM alipewa kazi ya kutekeleza hayo niliyoyataja hapo juu. Kwa bahati mbaya au nzuri, JPM alikuwa anapenda sifa sana. Aliyatekeleza sana na kwa nguvu na kwa speed kubwa ambayo was not expected na ikaonekana kama hii miradi ni ya kwake. This's the fact. Hii miradi siyo ya JPM. Ni ya nchi. Usipoitekeleza, au kuikanyaga, unaikanyaga nchi na mifumo yake ambayo siyo rafiki kwakweli.
Ushauri wangu: Pamoja na roho aliyokuwa nayo JPM, na pamoja na ujinga wake na uwendawazimu mwingi aliokuwa nao, usifikiri figisu dhidi ya bwawa la Nyerere na miradi mingine itamuacha mtu yeyote salama. You're my brother. "Wenye nchi yao", ambao siyo watu "wema" are watching and monitoring. Nahisi mama kabadilika baada ya kufahamu ukweli. Kindly thank me later bro. My greetings to Wifi. Shemeji yako ananisubiri. Ngoja akapewe anachotaka.
Asingemaliza mwezi angeondoka zake kuelekea kuzimu!!Yaani unasema ungewa wewe ungeipiga chini Sgr na bwawa la umeme..Kama nani?yaani hera zote zilizoteketa utwambie kwa kuwa miradi ilianzishwa na magufuri basi iachwe..harafu sisi tukuangalie tu ..wewe kama nani?
Lazima tulalamike kama hatupati umeme kwanini tusilalamike mkuu? Sisi siyo nyumbu!hovyo. Malalamiko kila wakati
Kwani umeme unaliwa? Nunua Sola acha malalamiko.Lazima tulalamike kama hatupati umeme kwanini tusilalamike mkuu? Sisi siyo nyumbu!
Mpumbavu ata atwangwe kwenye kinu upumbavu wake hautamuisha (mithali 27:22)Na huu ndio ukweli wenyewe!!. au nasema uongo ndugu zangu
January ana ka kiburi fulani
hajui kakalia kuti kavu...
WASAKA URAIS WA CCM WANAMUOGOPA JANUARI KULIKO KITU CHOCHOTE. WANAJUA DOGO ANA MBINU MILIONI MOJA ZA KUINGIA IKULU.Kwani huyu kijana wa Retired Lieutenant amewafanya nini? [emoji28]
JKHuyu January yupo nyuma ya Nani,
Labda tuanzie hapo!
Hakuna relation kati ya hizo number. The issue ni kwamba wasingeweza kumuondoa 17/3 kabla ya Anko. Anko hakuwa tayari kuona 17/3 anaguswa kwa namna yoyote ile.Mwalimu Nyerere alifariki baada ya miaka 15 ya
kusataafu......
Mkapa amefariki baada ya miaka 15 ya
kustaafu.....