Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo basi nililopanda lilijaa kupitiliza kuanzia ofisini, hata pa kusimama ilikuwa ngumu bado njiani haiachi mtu. Kulikuwa na basi moja tu kampuni ya Simanjiro Express. Barabara ni mbaya sana, ni vumbi na mashimo. Hutaamini km maeneo yale watu wanajua maana ya uhuru. Kule bado ni Tanganyika. Kutokea Kiteto kwenda Dodoma kuna njia 2, moja kupitia Kongwa na ya pili kupitia Izava(Kondoa). Barabara kuu ni kupitia Kongwa kwa Ndugai. Kiteto ni eneo la kimkakati, ni wilaya ya uzalishaji mkubwa wa nafaka, inaunganisha ukanda wa kaskazini na kanda za kati na mashariki mwa nchi. Kutokea Kiteto unaenda Dsm na Tanga kupitia Mkata, unaenda Turiani(Morogoro), unaenda Dodoma, unaenda Babati na kwenda Arusha. Utashangaa ndani ya nchi moja kuna maeneo kumejengwa madaraja ya njia 4 juu ya maji. Kuna maeneo kuna miundo mbinu ya barabara ya lami, reli ya MGR na kuna reli ya SGR. Ndani ya nchi hii moja. Kuna ubaguzi na uonevu mkubwa sn nchi hii. Mkoa wa Manyara uko nyuma sana kimiundo mbinu umepuuzwa pamoja na kwamba ni mkoa wa uzalishaji mkubwa. Nani wa kuwasaidia hawa watu.
Acha wivu wewe, ulitaka kule linakojengwa daraja kusijengwe bali kufanyweje ,, we dai serikali ipeleke maendeleo sio iache sehemu fulani ipeleke kiteto, kila sehemu ina deserve miundombinu
 
Ninaunga mkono hoja. Ni kweli roho ya chuki imekuwepo huko nyuma kwa kiasi fulani angalau kwa kufichaficha,. Na kinachotuponza watanzania ni kufikiri hii nchi ni mali ya kikundi fulani cha watawala.
Awamu ya tano iliathiriwa kwa kiasi kikubwa na matokeo hafifu kuwahi kutokea tangu tuanze mfumo wa vyama vingi, na badala ya kutafuta solution ya nini walipaswa kufanya,wao wakajaa chuki kwa wote waliowanyima kura.
Ninakumbuka wakati wa uchaguzi wa Zambia,2002 Levi Mwanawasa alishinda kwa kura kidogo sana.
Yeye hakugombana na waliomnyima kura,alideal na mtangulizi wake Frederick Jacob Titus Chiluba, ambaye ndiye alikuwa chanzo cha matokeo mabovu.
Mmesimsikia hata huyu Mchengerwa,kudai eti maendeleo ya Arusha yameathiriwa na siasa za maji taka,sasa kwa akili za kiongozi kama huyo ambaye hajui hata mchango wa utalii kupitia Arusha ambao unafaidisha nchi nzima yeye anafikiria kuikomoa Arusha wanaoumia ni wanaarusha peke yao.
Kuna maeneo ya kimkakati kiuchumi unazuia barabara kisa siasa.
Huyu mama angalau alianza kuonyesha matumaini, lakini ameona mbele ni giza akaamua taratibu kurudi kule kwa mtangulizi wake. Kaanza na mbinu zile zile na watu wale wale.
Muogopeni sana Mungu,tendeni haki, tayari ameshatuonyesha ana uwezo kiasi gani. Yeye akiamua hatajali mlie hata mzimie,nchi itaendelea tu.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo basi nililopanda lilijaa kupitiliza kuanzia ofisini, hata pa kusimama ilikuwa ngumu bado njiani haiachi mtu. Kulikuwa na basi moja tu kampuni ya Simanjiro Express. Barabara ni mbaya sana, ni vumbi na mashimo. Hutaamini km maeneo yale watu wanajua maana ya uhuru. Kule bado ni Tanganyika. Kutokea Kiteto kwenda Dodoma kuna njia 2, moja kupitia Kongwa na ya pili kupitia Izava(Kondoa). Barabara kuu ni kupitia Kongwa kwa Ndugai. Kiteto ni eneo la kimkakati, ni wilaya ya uzalishaji mkubwa wa nafaka, inaunganisha ukanda wa kaskazini na kanda za kati na mashariki mwa nchi. Kutokea Kiteto unaenda Dsm na Tanga kupitia Mkata, unaenda Turiani(Morogoro), unaenda Dodoma, unaenda Babati na kwenda Arusha. Utashangaa ndani ya nchi moja kuna maeneo kumejengwa madaraja ya njia 4 juu ya maji. Kuna maeneo kuna miundo mbinu ya barabara ya lami, reli ya MGR na kuna reli ya SGR. Ndani ya nchi hii moja. Kuna ubaguzi na uonevu mkubwa sn nchi hii. Mkoa wa Manyara uko nyuma sana kimiundo mbinu umepuuzwa pamoja na kwamba ni mkoa wa uzalishaji mkubwa. Nani wa kuwasaidia hawa watu.
Kituko utasikia mbunge wa Kiteto naye ananadi flyover za Dar eti Mama anaupiga mwingi!
 
Mkoa wa Manyara ulianza lini labda???Na ukumbuke kuwa maendeleo ni hatua.Huwezi linganisha Manyara na Mbeya,Morogoro,Dodoma ambayo ni mikoa ya zamani.Muda ukifika Manyara nako kutatengenezwa tu.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo basi nililopanda lilijaa kupitiliza kuanzia ofisini, hata pa kusimama ilikuwa ngumu bado njiani haiachi mtu. Kulikuwa na basi moja tu kampuni ya Simanjiro Express. Barabara ni mbaya sana, ni vumbi na mashimo. Hutaamini km maeneo yale watu wanajua maana ya uhuru. Kule bado ni Tanganyika. Kutokea Kiteto kwenda Dodoma kuna njia 2, moja kupitia Kongwa na ya pili kupitia Izava(Kondoa). Barabara kuu ni kupitia Kongwa kwa Ndugai. Kiteto ni eneo la kimkakati, ni wilaya ya uzalishaji mkubwa wa nafaka, inaunganisha ukanda wa kaskazini na kanda za kati na mashariki mwa nchi. Kutokea Kiteto unaenda Dsm na Tanga kupitia Mkata, unaenda Turiani(Morogoro), unaenda Dodoma, unaenda Babati na kwenda Arusha. Utashangaa ndani ya nchi moja kuna maeneo kumejengwa madaraja ya njia 4 juu ya maji. Kuna maeneo kuna miundo mbinu ya barabara ya lami, reli ya MGR na kuna reli ya SGR. Ndani ya nchi hii moja. Kuna ubaguzi na uonevu mkubwa sn nchi hii. Mkoa wa Manyara uko nyuma sana kimiundo mbinu umepuuzwa pamoja na kwamba ni mkoa wa uzalishaji mkubwa. Nani wa kuwasaidia hawa watu.
Kwako wewe tanganyika imepata uhuru 2015?
 
Nyerere Mwinyi Mkapa na Kikwete walijenga hizo barabara Magufuli akaja kuzibomoa?

Kama walikuwepo hao na hawakujenga, huo ubaguzi wa Magu unakujaje?

Hizi ni chuki tu au kuna ujinga hapa?
Nani hakujenga wewe labda umezaliwa juzi na bila Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete nchi hii isingekuwa ya neema kama unavyoiona leo.
 
Kifikra za kujenga nchi Magufuli alikuwa mfano wa third word (aina maana hakuwa na ushamba wa ukabila katika teuzi zake)

Kuendekelea kifikra anahitajika mtu mkali zaidi ya Magufuli.

Shida ya Tanzania ni low standard za expectations na quality ya uongozi. Na kudhani safari ya mabadiliko ni rahisi.

Kwa mazoea ya Tanzania hasa kwa fikra za wazee wa CCM, siasa za upinzani, akili za vyombo vya habari na wanasiasa wa Tanzania; bado sana (kwa pamoja hawa watu wenye jukumu la kuchagiza maendeleo wengi wao hawana know-how skills za majukumu yao).

Hakuna maendeleo hapo miaka 800.

It’s never gonna happen, Tanzania ni nchi inayoongozwa na wajinga na yenye wananchi wajinga (sio wote, Iła asilimia kubwa).

Kama nchi haitoboi kamwe bila ya kupata kiongozi ambae ni better version ya Magufuli.

Akili za watanzania ni so shallow, zina reflect umaskini wa nchi ilipo. Nchi haipo hapo kwa bahati mbaya bali ni uwezo mdogo wa viongozi.

Maamuzi ya hovyo nchi hii serikali inayofanya na uwezo mdogo wa watu wanaofanya hayo maamuzi; hayo mambo hayawezekani nchi zilizoendelea kamwe.

Tusione vinaelea kwa wenzetu, vimeundwa
Well written/said
 
Acha uongo na chuki kwa Magu. Magu kwenye miundo mbinu alijitahidi sana sasa unazungumzia mkoa wa Manyara tu, kwamba Nchii hii barabara zote za mikoa zimejengeka sipokuwa Manyara tu? Itakuwa hujasafiri Mikoa mbali mbali Nchii. Barabara za Nchii hasa huku mawilayani bado zinachangamoto sana, tembea Miko hata 20 ya Tanzania na uingie huku wilayani utaelewa
 
Kifikra za kujenga nchi Magufuli alikuwa mfano wa third word (aina maana hakuwa na ushamba wa ukabila katika teuzi zake)

Kuendekelea kifikra anahitajika mtu mkali zaidi ya Magufuli.

Shida ya Tanzania ni low standard za expectations na quality ya uongozi. Na kudhani safari ya mabadiliko ni rahisi.

Kwa mazoea ya Tanzania hasa kwa fikra za wazee wa CCM, siasa za upinzani, akili za vyombo vya habari na wanasiasa wa Tanzania; bado sana (kwa pamoja hawa watu wenye jukumu la kuchagiza maendeleo wengi wao hawana know-how skills za majukumu yao).

Hakuna maendeleo hapo miaka 800.

It’s never gonna happen, Tanzania ni nchi inayoongozwa na wajinga na yenye wananchi wajinga (sio wote, Iła asilimia kubwa).

Kama nchi haitoboi kamwe bila ya kupata kiongozi ambae ni better version ya Magufuli.

Akili za watanzania ni so shallow, zina reflect umaskini wa nchi ilipo. Nchi haipo hapo kwa bahati mbaya bali ni uwezo mdogo wa viongozi.

Maamuzi ya hovyo nchi hii serikali inayofanya na uwezo mdogo wa watu wanaofanya hayo maamuzi; hayo mambo hayawezekani nchi zilizoendelea kamwe.

Tusione vinaelea kwa wenzetu, vimeundwa
Umeongea ukweli mtupu nchi ya wajinga viongozi wajinga.
 
Kwa nini huongelei lami zilizojengwa babati /manyara kipindi cha Magufuli?
Huu ni uchambuzi wa chuki
Amejawa na Chuki, anazungumzia barabara moja tu wkt wana barabarq ya kiwango sana
 
Back
Top Bottom