Hii ndio aina ya wanaume wengi wa JF MMU, wanaune mko vizuri mno

mtoa mada ni chizi watu humu wanajielewa sana nishia kutana na members kadhaa humu wazinguaji lakini tulivyokutana live ni watu makini na nimefanya nao deals kadhaa kuhusu mandinga wote nilioonana nao they are pushin rides nakubali kuna wazugaji na wakweli na wengi ni wafanyakazi humu wa umma na sekta binafsi trust me
 
halafu mm mtu akiletaga mada za magari huwa namdharau gari siku ni moja ya mahitaji muhimu sio hoja kihivyo ofisini kwetu hadi office attendants wana push rides sasa nashangaa mnavyojadili kuhusu magari,mnatakiwa mjadili vitu vikubwa vyenye tija
 
Case closed..mleta mada unalingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…