Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

Mara yako ya mwisho kufika Arusha ni mwaka gani mkuu?
Unaulizia shule ya Serikali ya English medium Arusha? Ipo. Inaitwa Arusha School.

Vyuo je?
1. Arusha Technical
2. Arusha University
3. Nelson Mandela University
4. Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru
5. Chuo cha Mifugo Tengeru
6. Mt. Meru University
7. Eastern and Southern African Management Institute - ESAMI (hiki ni Chuo cha Kimataifa, wanaopitia pale wanapata exposure kubwa sana)
8. Makumira University
9. Tanzania Military Academy(TMA)

Havijatosha tu? Au niendelee kuvitaja na vingine? Bado vipo vingi tu.
 
Mkuu mdazi umemaliza kila kitu.
 
Acha wivu mdazi kufananisha arusha na Mwanza ni kuivunjia heshima Mwanza.
 
Ukisikia bangi ndo hizi! Unaweka slums kama mwanza na mbeya juu ya Arusha halaf unaweka allegations za kijinga kabsa kusupport hizi bang zako.
Tulia wewe chalii πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Arusha hata Barabara bado Sana
Na zilizopo zimechoka
Alafu usafiri wa Jiji ni bajaji kweli
Taa za barabarani Changamoto
 
Huu ndiyo mpangilio sahihi:
1. Dar
2. Arusha
3. Mwanza
4. Mbeya
5. Dodoma
Nimeshakwambia majiji TZ ni 2 tu mbona huelewi

Dar

Mwanza

Mji ambao hauna stend na soko la maana, Arusha jengeni kwanza stend na soko ndio mtakuwa jiji mambo mengine mnajitahidi.

Mbeya sio jiji kwa sababu kuna nyumba za tope mjini halafu haijulikani city center ni wapi.

Dodoma wanakuja vizuri, tatizo hali ya hewa na lile jangwa kama Kandahar lakini wanakuja kuwa namba 3.

Kwahiyo kwa sasa majiji yabaki 2 tu.
 
Arusha school aliyosoma Mohammed dewji ni shule iliyoanzishwaa kwajili ya wazungu, ada ni takribani milioni 20 na wengi wanaosoma shule hizo ni watoto wa matajiri na mabalozi sio wananchi wa kawaida ndio maand nilisema mwanzoni Arusha ni jiji zuri zaidi kwa matajiri na watalii, Shule nazozungumzia za serikali english medium ni hizi za laki 2 kwa wananchi wa kawaida, ukienda Mbeya zipo 5, Arusha kuna ipi ??


*Arusha jiji ndio inaongoza kwa ufaulu kwa miaka zaidi ya mitano mfululizo we huogopi
Nina wasi wasi pengine umeishia darasa la sita huzijui hata shule zinazoongoza achilia mikoa, mikoa inayoongozaga kwa ufaulu ni Moshi, Mbeya, Iringa, n.k. shule kama Saint Francis ya Mbeya inakimbiza tangu zamani, ni kiwanda cha wanafunzi wanaopasua Necta.
*Arusha ndio mji wenye taasisi nyingi za kimataifa
Mnanufaika nazo vipi wakati waajiriwa wengi ni watu wa nje ?? hata kama ni watanzania wengi wametokea vyuo vya Dar, Mbeya, Moro, n.k. hapo Arusha nje ya chuo cha Uhasibu (I.A.A) kuna chuo gani kingine cha maana ?
*Kuna International Schools zaidi ya 10
Kwajili ya watoto wa kishua, Braeburn ada milioni 50
*Ndio mji namba mbili kwa makusanyo ya TRA nyuma ya Dar
Makusanyo ya kodi ni ya sekta ya utalii kutoka kwa wazungu, sio watu wa jiji kama ilivyo kwa majiji mengine
 
Mbona Arusha umeichambua vizuri sana ?
Arusha Jiji limewekwa kukidhi zaidi watalii na wenye pesa, sio wananchi wa kawaida.

Vuta picha jiji halina shule ya serikali english medium za laki 2 (kama ipo haizidi moja) lakini mtu anaishi Ngarenaro anakuja sifia eti kuna shule za kimataifa za milioni 40
 
Hujui kitu hopeless πŸ˜„
Endelea kubishana stori za kijiweni
Hiyo arusha school aliyosoma mo dewji ni shule ya serikali
Wivu juu ya arusha utawaua Wewe umezoea kubishana na watu wa vijiweni πŸ˜„
Hizo ndio hoja zako??
Mo dewji kasoma arusha school ya serikali unabisha
Mwanzo ulisema arusha hamna shule ya english medium ya private 😜
Huu uzi ni mwanza vs arusha
Baada ya mwanza kupigwa na kitu kizito kuanzia makusanyo ya TRA na wingi wa maghorofa
Mlichobaki nacho ni kuzaliana kama panya
Mnatafuta ahueni huku
Arusha umetoka kuwa mji wa 9 kwa ukubwa hadi leo ilipo
Na sasa hivi dodoma ndio imewazika kwa umuhimu miji ni Dar, Zanzibar, Dodoma na Arusha bas
Nyie dagaa wa ziwani zama zenu zimeisha
Unaongelea mapato ya utalii hujui hata kitu kinaitwa mnyororo wa thamani ndio maama ufukara umewajaa hamna kitu cha kuwaingizia mapato
Laiti ungejua projects zinazoendelea arusha ungeshika kichwa πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…