Wabongo hata uzuri hawajui! Dar imezidiwa mpaka na Mbeya mbali tu! Arusha ndo usiseme!Hivi kumbe Dar Kuna hali nzuri ya hewa nilikuwa sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo hata uzuri hawajui! Dar imezidiwa mpaka na Mbeya mbali tu! Arusha ndo usiseme!Hivi kumbe Dar Kuna hali nzuri ya hewa nilikuwa sijui
Mara yako ya mwisho kufika Arusha ni mwaka gani mkuu?Arusha stendi ya mabasi ya mikoani mpaka leo ni ndogo ile ya mjini, Ni jiji zuri kwa watalii na matajiri wanaotumia ndege wanatua Uwanja wa Kia, Mbeya kuna stendi za maana kwa watu wa kawaida na uwanja wa Ndege upo kwa wenye uwezo.
Arusha kielimu ipo nyuma kuna chuo kikubwa kimoja tu cha uhasibu (IAA) hata shule ya english za serikali sidhani kama ipo, Ukienda Mbeya kuna utitiri wa vyuo kama 12 hivi, Shule za kiingereza zipo nne za serikali, Private ndio usiseme ni utititiri, Arusha inawafaa wenye pesa zao wanasomesha zile shule za Braeburn milioni 30 kwa mwaka
Arusha kuna uhalifu wa hali ya juu, Huwezi linganisha na Mbeya
Arusha kuna mzunguko mdogo wa pesa, Matajiri ni wengi lakini vyanzo vyao vya pesa ni migodi ya nje ya mkoa. sio ndani ya Arusha.
Naishia hapo ila kuna mengi zaidi
Huu ndiyo mpangilio sahihi:Tanga na Mbeya zitoe hapo hayo sio majiji ni manispaa zilizopiga hatua, majiji Tanzania ni 2 tu;
Dar es Salaam
Mwanza
😀😀😀 watuweke hapo namba 2 hebu!Singida mbona haipo hapo?
Sahihi hapana!Huu ndiyo mpangilio sahihi:
1. Dar
2. Arusha
3. Mwanza
4. Mbeya
5. Dodoma
Kabisa😀😀😀 watuweke hapo namba 2 hebu!
Mkuu mdazi umemaliza kila kitu.Hata hujielewi unachoandika unavosema airport tunatumia KIA kwan hujui huo uwanja uko km 40 tu kutoka city centre ya arusha au ulivoskia Kia ukajua ni kama mwanza na bukoba
Bado hapo kuna airport ndogo ya arusha na yenyewe inapanuliwa na ndio ya pili kwa miruko mingi ya ndege na upo mjini kuna route zote local kwenda dar, zanzibar etc na air tanzania inatua uwanja mdogo wa arusha na jengo lake la abiria limeshakamilika
* Unasema hata shule za English medium za serikali hujui kama zipo unaonyesha wewe sio mtu wa data ni mtu wa kuchkua stori za vijiweni na kuzileta jamii forums 😄
*Arusha school ndio shule kubwa ya English medium ya serikali nchini na wamesoma watu wengi wazito ikiwemo mohamed dewji
*Arusha jiji ndio inaongoza kwa ufaulu kwa miaka zaidi ya mitano mfululizo we huogopi
*Sekondari kuna ilboru na kisimiri zote za serikali na kila mwaka zipo top 10
* Arusha ndio mji wenye International community kubwa nchini
*Arusha ndio mji wenye taasisi nyingi za kimataifa
*Makao makuu ya Afrika mashariki
*Mahakama ya Afrika
*Kuna International Schools zaidi ya 10
*Kuna kambi za jeshi zaidi ya 4
*Kuna mahoteli na supermarkets za kila kada, Kuna migahawa ya brands za kimataifa ambazo zipo dar tu kama pizza hut, KFC na subway
*Ndio mji namba mbili kwa makusanyo ya TRA nyuma ya Dar
*Ndio mji namba mbili kwa majengo mengi ya ghorofa
Sasa kaa hapo kijiweni mdanganyane arusha kuna chuo kimoja ni kichekesho 😆 yani jiji la kimataifa liwe na chuo kimoja?
Kuna ESAMI hichi ni chuo cha Afrika kinatoa masters tu, kuna Ms Tcdc, kuna tumaini makumira main campus, kuna arusha technical college, kuna tma, kuna duluti kuna ustawi wa jamii tengeru nikianza kuvitaja hatutamaliza leo bado kuna Nelson Mandela University hapo bado Aghakhan wana eneo la kujenga chuo kikubwa Afrika
Hali ya hewa ya arusha ndio best tanzania 🇹🇿 hakuna baridi ya kupausha kama mbeya wala joto
*Hatuhitaji maoni yenu kujua kama arusha ni bora mji ambao unamikutano ya kimataifa kila kukicha arusha ndio mji bora hapa nchini mkitaka kujifariji na vi thread vyenu wekeni hata arusha ni ya mwisho mjitekenye na kucheka wenyewe 😄
NB: Hayo maswala ya stendi na masoko ni kazi ya serikali kuu hakuna halmashauri hata moja imejenga stendi wala soko kwa hela zake mpanda na sumbawanga kuna stendi mpya unataka kusema ni pazuri kuliko arusha?
Na bado design za stendi ya arusha na masoko yanayojengwa zimeshatoka sjui mtajifichia wapi??
📸 pichani uwanja wa samia, esami ,Nelson Mandela University
Acha wivu mdazi kufananisha arusha na Mwanza ni kuivunjia heshima Mwanza.Hahah
Huu uzi wamelenga kuionesha arusha iko chini et namba nne 😄
Alafu mtoa mada anajificha eti uzuri wa mji sio magorofa kwahiyo uzur wa mji ni vile vijumba kama viberiti milimani mwanza au zile slums za mbeya
Sehemu nzuri ndio zinazotembelewa arusha, zanzibar, dar huko kwingine bado sanaa mwanza pale rock city mall wamefanya madarasa ya wanafunzi alafu wanajilinganisha na arusha 😄
Tulia wewe chalii 😀😀😀Ukisikia bangi ndo hizi! Unaweka slums kama mwanza na mbeya juu ya Arusha halaf unaweka allegations za kijinga kabsa kusupport hizi bang zako.
Hizi ndo hoja zako!Tulia wewe chalii 😀😀😀
Arusha hata Barabara bado Sana
Na zilizopo zimechoka
Alafu usafiri wa Jiji ni bajaji kweli
Taa za barabarani Changamoto
Nimeshakwambia majiji TZ ni 2 tu mbona huelewiHuu ndiyo mpangilio sahihi:
1. Dar
2. Arusha
3. Mwanza
4. Mbeya
5. Dodoma
Ukisikia bangi ndo hizi! Unaweka slums kama mwanza na mbeya juu ya Arusha halaf unaweka allegations za kijinga kabsa kusupport hizi bang zako.
Arusha school aliyosoma Mohammed dewji ni shule iliyoanzishwaa kwajili ya wazungu, ada ni takribani milioni 20 na wengi wanaosoma shule hizo ni watoto wa matajiri na mabalozi sio wananchi wa kawaida ndio maand nilisema mwanzoni Arusha ni jiji zuri zaidi kwa matajiri na watalii, Shule nazozungumzia za serikali english medium ni hizi za laki 2 kwa wananchi wa kawaida, ukienda Mbeya zipo 5, Arusha kuna ipi ??Unasema hata shule za English medium za serikali hujui kama zipo unaonyesha wewe sio mtu wa data ni mtu wa kuchkua stori za vijiweni na kuzileta jamii forums 😄
*Arusha school ndio shule kubwa ya English medium ya serikali nchini na wamesoma watu wengi wazito ikiwemo mohamed dewji
Nina wasi wasi pengine umeishia darasa la sita huzijui hata shule zinazoongoza achilia mikoa, mikoa inayoongozaga kwa ufaulu ni Moshi, Mbeya, Iringa, n.k. shule kama Saint Francis ya Mbeya inakimbiza tangu zamani, ni kiwanda cha wanafunzi wanaopasua Necta.*Arusha jiji ndio inaongoza kwa ufaulu kwa miaka zaidi ya mitano mfululizo we huogopi
Mnanufaika nazo vipi wakati waajiriwa wengi ni watu wa nje ?? hata kama ni watanzania wengi wametokea vyuo vya Dar, Mbeya, Moro, n.k. hapo Arusha nje ya chuo cha Uhasibu (I.A.A) kuna chuo gani kingine cha maana ?*Arusha ndio mji wenye taasisi nyingi za kimataifa
Kwajili ya watoto wa kishua, Braeburn ada milioni 50*Kuna International Schools zaidi ya 10
Makusanyo ya kodi ni ya sekta ya utalii kutoka kwa wazungu, sio watu wa jiji kama ilivyo kwa majiji mengine*Ndio mji namba mbili kwa makusanyo ya TRA nyuma ya Dar
Arusha Jiji limewekwa kukidhi zaidi watalii na wenye pesa, sio wananchi wa kawaida.Mbona Arusha umeichambua vizuri sana ?
Eboo Wakapalilie ALIZETI NA VITUNGUUSingida mbona haipo hapo?
Lile ni likijiji likubwaMbeya haina hadhi ya kuitwa jiji
Hujui kitu hopeless 😄Arusha school aliyosoma Mohammed dewji ni shule iliyoanzishwaa kwajili ya wazungu, ada ni takribani milioni 20 na wengi wanaosoma shule hizo ni watoto wa matajiri na mabalozi sio wananchi wa kawaida ndio maand nilisema mwanzoni Arusha ni jiji zuri zaidi kwa matajiri na watalii, Shule nazozungumzia za serikali english medium ni hizi za laki 2 kwa wananchi wa kawaida, ukienda Mbeya zipo 5, Arusha kuna ipi ??
Nina wasi wasi pengine umeishia darasa la sita huzijui hata shule zinazoongoza achilia mikoa, mikoa inayoongozaga kwa ufaulu ni Moshi, Mbeya, Iringa, n.k. shule kama Saint Francis ya Mbeya inakimbiza tangu zamani, ni kiwanda cha wanafunzi wanaopasua Necta.
Mnanufaika nazo vipi wakati waajiriwa wengi ni watu wa nje ?? hata kama ni watanzania wengi wametokea vyuo vya Dar, Mbeya, Moro, n.k. hapo Arusha nje ya chuo cha Uhasibu (I.A.A) kuna chuo gani kingine cha maana ?
Kwajili ya watoto wa kishua, Braeburn ada milioni 50
Makusanyo ya kodi ni ya sekta ya utalii kutoka kwa wazungu, sio watu wa jiji kama ilivyo kwa majiji mengine
Wewe umezoea kubishana na watu wa vijiweni 😄Arusha school aliyosoma Mohammed dewji ni shule iliyoanzishwaa kwajili ya wazungu, ada ni takribani milioni 20 na wengi wanaosoma shule hizo ni watoto wa matajiri na mabalozi sio wananchi wa kawaida ndio maand nilisema mwanzoni Arusha ni jiji zuri zaidi kwa matajiri na watalii, Shule nazozungumzia za serikali english medium ni hizi za laki 2 kwa wananchi wa kawaida, ukienda Mbeya zipo 5, Arusha kuna ipi ??
Nina wasi wasi pengine umeishia darasa la sita huzijui hata shule zinazoongoza achilia mikoa, mikoa inayoongozaga kwa ufaulu ni Moshi, Mbeya, Iringa, n.k. shule kama Saint Francis ya Mbeya inakimbiza tangu zamani, ni kiwanda cha wanafunzi wanaopasua Necta.
Mnanufaika nazo vipi wakati waajiriwa wengi ni watu wa nje ?? hata kama ni watanzania wengi wametokea vyuo vya Dar, Mbeya, Moro, n.k. hapo Arusha nje ya chuo cha Uhasibu (I.A.A) kuna chuo gani kingine cha maana ?
Kwajili ya watoto wa kishua, Braeburn ada milioni 50
Makusanyo ya kodi ni ya sekta ya utalii kutoka kwa wazungu, sio watu wa jiji kama ilivyo kwa majiji mengine