Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

Akina Diamond si wakaendeleze kwao kazi kung'ang'ania Dar tu

Kwenu ni kwenu tu wasijisahaulishe
 
Waswahili ndiyo waliokufanya leo hii uongee Kiswahili, nje ya ustarabu wa Waswahilini ushenzi tu.

Tujuwe kuliita chungwa chungwa.
 
Waha wanaongoza kwa unafiki kaa nao mbali hawa jamaa.
 
Historia yako siyo ya kweli, umejazwaa ujinga.

Waswahili walikuwepo kabla ya Wabantu kuhamia mashariki ya Afrika. Soma kuhusu Raptha utapata uelewa kidogo ni nani Waswahili ni nani mshenzi. Kuwa Mswahili ni sifa kubwa sana.

Yeyote nje ya Waswahili ni mshenzi.
 
Narud hapa...
 
Nimeipenda hii, kwani hakuna mambo ya Itaendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…