Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

Masalia ya barabara ya njia za watumwa waliokua wanachukuliwa kutoka congo, kigoma mpaka Tabora hapa ni kigoma ujiji kagera.
Hiyo ni miti ya miembe imenyooka mpaka Tabora wenyeji wanasema ni shortcut ya kwenda tabora kwa mguu
Screenshot_20230925-062524~2.png
 
Back
Top Bottom