Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

Humo ndani ya gari yalikua yanauzwa mahindi, mihogo, karanga vitumbua, mayai yaani tulikua tunapakia Muda wote non stop, story zinapigwa sana mtu wa seat ya mbele anapiga story na rafiki yake aliye seat ya nyuma, kweli waha (((imebidi nicheke)))
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…