Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Wasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho

Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
hata walionacho huwa wanamijadala yao either kuhusu aliyenacho zaidi or wasionacho
 
Wasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho

Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tusionacho ila tulio na vichache af maisha ndvyo yalivyo
Tunaona hata akina Dj khaled ,Kanye n more huwa wanawaongelea wengine ko sio hajabu
juzi kati tu hapo baada ya davido kutangaza ananunua ndege tuliwasikia hao unaiwaona wanacho wakijadili kuhusu walionacho zaidi yao.
 
Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo..

So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,

94443861_1107596089616887_4314303565184106496_n.jpg

95125762_280546476280188_7668589340217311232_n.jpg

94658162_1085087611859234_1859997709939769344_n.jpg

94640992_1369527053242280_3872161180554362880_n.jpg

95222650_593717371505998_2662903105321959424_n.jpg
hapa namkumbuka kaka marehemu Ephaim kibonde kunanamna alikuwa anasema kuna gali na galry kwa sauti ya kibonde utanielewa zaidi.
 
Ukiingia insta za Davido na Wiz ndio utajua sisi watanzania masikini sana
huko mbali muone kijana wa duro pale tekno,utajua bado sana[emoji16][emoji16][emoji16].

ila kiukweli huwa naumia basi tu.yaani mond ndio kafika peek lakini gari ya kifahari anayomiliki,toyota.anyway wanazi wake watasema nachonga sababu sina hata baiskeri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huko mbali muone kijana wa duro pale tekno,utajua bado sana[emoji16][emoji16][emoji16].

ila kiukweli huwa naumia basi tu.yaani mond ndio kafika peek lakini gari ya kifahari anayomiliki,toyota.anyway wanazi wake watasema nachonga sababu sina hata baiskeri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamua sana kwa gari alilolipata mwenzio.?

Ninachokushangaa zaidi unafananisha Industry yenye support ya ndani ya watu zaidi milion 200 na industry yenye support ya watu zaidi mil 50 alafu unafanya comparison ya achievement.
 
mbona n gari mbovu sana hii tofauti na ile ya juu
Hili ni toleo la zamani !!

Lakini yako machache Sana

Hata huyo muhindi Tanganyika bas huwa anaikodisha kwa maharusi au Kama una mgeni wako maalum unataka kumtembeza mjini!

Pia ndio toleo analotumia malkia Elizabeth mpaka leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Unamua sana kwa gari alilolipata mwenzio.?

Ninachokushangaa zaidi unafananisha Industry yenye support ya ndani ya watu zaidi milion 200 na industry yenye support ya watu zaidi mil 50 alafu unafanya comparison ya achievement.
yah kwani wewe roho haikuumi,kuona msanii wa nje anatoboa kimasiha wakati wa ndani jasho jingi mavuno hafifu!!!
ndio maana nasema bado sana,kwani SA ina watu milioni mia ngapi!!!!

ukiangalia hata pay per view youtube bado tz tunalipa watu pesa ndogo mno,hii inazidi kuchangia sanaa kuleta matokeao hafifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho

Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Una habari kwamba ww ni wa pili kutoa maoni? Yaani kabla yako alikuwepo mtoa mada na mtu mmoja tu. Unajua hiyo inamaanisha nn?
 
Back
Top Bottom