Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Wakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1.Iringa
2.Mara
3.Shinyqnga
4.Mwanza
5.Mwanza
6.Simiyu
7.Geita.
8.Mbeya
9.Ruvuma
10.Njombe
11.Tabora
12.Dodoma
Huna kazi ya kufanya mpaka utuletee huu utopolo?
 
Wakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1.Iringa
2.Mara
3.Shinyqnga
4.Mwanza
5.kigoma
6.Simiyu
7.Geita.
8.Mbeya
9.Ruvuma
10.Njombe
11.Tabora
12.Dodoma
Aisee unataka kusema Kilimnjaro na Arusha ndoa hazidumu dada zetu wamewafanya nini
 
Iringa
Wakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1.Iringa
2.Mara
3.Shinyqnga
4.Mwanza
5.kigoma
6.Simiyu
7.Geita.
8.Mbeya
9.Ruvuma
10.Njombe
11.Tabora
12.Dodoma
,mbeya?Tabora?Ruvuma?njombe? We jamaa ni fala kweli kabisa tena mbwa kabisa idiot utafiki umetumia njia ipi?
 
Back
Top Bottom