Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Wakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1.Iringa
2.Mara
3.Shinyqnga
4.Mwanza
5.kigoma
6.Simiyu
7.Geita.
8.Mbeya
9.Ruvuma
10.Njombe
11.Tabora
12.Dodoma
Uvumilivu nnao bado mume tu
 
Mwanamke wa iringa usijidanganye wengi wanaviburi,malaya na walevi kuna idadi kubwa ya wanawake single maza huu mkoa

Wabena na wakinga wapo vizuri watakufaa kama unamalengo yakufika mbali kiuchumi

Wasukuma wapo vizuri sana ila kuna wengine walikuja mjini wanashida wanaulimbukeni

Wanawake wa tanga wapo vizuri pia
UKo sahihi mkuu wanawake wa lushoto ni the best Tanzania nzima,wasumuma ujuaji mwingi mbele giza,iringa na njombe hawajui kunyima mtu
 
Mbeya itowe hap
Wakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.

1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12. Dodoma
Mbeya itowe hapo ,huwajui wasafwa na wanyakyusa wewe
 
Ukitak wanawake vibur,jeuri,tomboys and much knows karibu Kilimanjaro na Arusha

Nakuambiaje, "utakula kilichopikwa"
Mpelekee moto, nasema mpelekee moto,narudia mpelekee moto. Hakuna mkate mgumu kwa chai
 
Wakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.

1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12. Dodoma
Mbeya kina nani?
 
Back
Top Bottom