Mkoa anaotoka cute wife haupo, mna mpango tuachane?
Kaskazini mjadala wake tulishaufunga dada, huko hakufai hata kidogo. mabinti wa kaskazini ni wajuaji aisee acha kabisa[emoji119][emoji119][emoji119]
Eh Morogoro haipo so wakaguru na warugulu hawana uvumilivu?![emoji849]
Sjaoa bado Cute wife, usiniwahishe hukoπ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkeo mlugulu nini?!!!
Sjaoa bado Cute wife, usiniwahishe huko[emoji4]
Nilikuwa najaribu tu kuwaza kama yule mkaguru ndio angekuwa wife[emoji1787]
Adabu ya kuigiza kwasababu anaona Kuna kilakitu lakini akili kisoda.Muoe ni wavumilivu usiogope tena wana adabu sana
Hakuna mkate mgumu kwa chai au kwa moto?Mpelekee moto, nasema mpelekee moto,narudia mpelekee moto. Hakuna mkate mgumu kwa chai
ManyaraWakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12. Dodoma
Kama wamekuja na hii mbinu ili tuachane basi watafute mbinu nyingine.Kweli kabisaaa sijapentraaaaaa waiweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe tyr ndoa hakunaa me na wewe!!!! Hio mikoa usiyoipenda nipo my dear
[emoji1787][emoji1787]
Kama wamekuja na hii mbinu ili tuachane basi watafute mbinu nyingine.
Mnaweza kuvumilia makande tuπ€£π€£π€£Kwamba K'njaro haipo kwenye list? Huko Mara sio kweli..
Samahani mkuu,Adabu ya kuigiza kwasababu anaona Kuna kilakitu lakini akili kisoda.
Moshi iwe namba mojaWakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12. Dodoma