Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

Hongera kwa kutumia uhuru wako wa kutoa maoni
Nami niongeze moja, sijui utaliweka upande upi, wa mafanikio yake au mapungufu yake.

Kuwawezesha wazee wako angalau kupata kielimu kidogo kilichowasaidia wakati walipokuzaa wewe kuona umuhimu wa kukupeleka shule ili upate mwanga, hata kama ulichokipata huko ni sehemu ya mawazo potofu.

Kwa mfano: kutoweza kutambua kwamba lugha ya kiswahili siyo tatizo la hayo unayolalamikia hapo.
 
1.Kung'oa reli mikoa ya kusini


2.kuwapangia wananchi nini cha kulima...

3.kuzuia wasomi hasa watumishi kuingia kwenye mabaraza ya halmashauri ....na siasa...

4.kulazimisha pesa yetu Ku peg na dollars pekee yake badala ya Ku peg na sarafu za nchi nyingi..

5.Muungano na Zanzibar only wakati tungezeweza ungana na Burundi,Malawi Drc. N.k hata Uganda...

6.kufanya foreign policy ni siasa badala ya biashara...

7.kuwajenga wananchi kuchukia matajiri....na kutukuza umasikini na kuita umasikini ndo uzalendo.

8.kuwafanya wananchi kuchukia Kodi na kutukuza wizi serikalini...

9.Kuaminisha wananchi serikali ina pesa nyingi na haishindwi kitu...

10.kudumaza wananchi kupenda kukaa Tanzania Tu ...hawataki hata kwenda nchi jirani kutazama fursa..

11 kuaminisha kila kijana ajira zipo serikalini..
 
Hayo uliyoyaainisha ndio yanayosababisha pesa za umma zinapigwa kutoka kila kona kila kukicha ??!!
 
Asante sana Nabii The Boss
 
Twende taratibu, hao watu ndio wanaleta hizo hoja, sasa nimekuonesha yale uliyoandika (hoja) aliyofanya Nyerere, ambapo wewe unasema alikosea, ndio utumbie hapa, alikosea vipi mpaka sisi tuliopo tushindwe kurekebisha?
Ina maana Mzee alikuwa ametushikilia akili zetu tangu akiwa hai mpaka sasa bado amezishikilia akili zetu pamoja na kwamba hayupo nasi tena ! 😅😅
 
Huko kuchukia matajiri matokeo yake sasa wapigaji ndio mnawaona wajanja..

Nyerere alikuwa nabii wa kweli, alijua kuna akili ndogo zitakuja take over zianze kufumbia macho na kusifia ufisadi.
 
Ina maana Mzee alikuwa ametushikilia akili zetu tangu akiwa hai mpaka sasa bado amezishikilia akili zetu pamoja na kwamba hayupo nasi tena ! [emoji28][emoji28]
JF imejaa wajinga wengi sana, nao wanajiita GTs!.
 
Huko kuchukia matajiri matokeo yake sasa wapigaji ndio mnawaona wajanja..

Nyerere alikuwa nabii wa kweli, alijua kuna akili ndogo zitakuja take over zianze kufumbia macho na kusifia ufisadi.
Mpigaji gani anaonwa mjanja?

Kwani ni uongo kuwa watu hawachukii matajiri na wanaona sifa kuwa masikini eti ndo uzalendo?
 
Mpigaji gani anaonwa mjanja?

Kwani ni uongo kuwa watu hawachukii matajiri na wanaona sifa kuwa masikini eti ndo uzalendo?
Twende sawa, swali langu la kwanza hujajibu, usiruke ruke, au wewe kipofu?

Nyerere aliwahi kukwambia umaskini ndio uzalendo? Naona huelewi hata unaposimamia..!!
 
Twende taratibu, hao watu ndio wanaleta hizo hoja, sasa nimekuonesha yale uliyoandika (hoja) aliyofanya Nyerere, ambapo wewe unasema alikosea, ndio utumbie hapa, alikosea vipi mpaka sisi tuliopo tushindwe kurekebisha?
Kila hoja iliyosemwa imesemwa na matokeo yake. Au sababu ya kwa nini nimesema hivyo.

Hakuna sehemu ambayo nimesema hatuwezi rekebisha hilo unasema wewe
 
Nilivyosoma issue ya Azimio la Arusha tu nikajua wazi we kibaka na huna faida katika Taifa letu
 
Huoni hadi leo tunakimbiza mwenge? We nikikuuliza faida za mwenge unaweza kunijibu?
Kwahiyo unaamini ushirikina ? Kwamba huo mdude unaendelea kutushikilia akili zetu ndio maana tunashindwa kujikwamua tuliponasa ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…