Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

Baba wa taifa Mwl JK Nyerere aliona mbali sana. USA na China ni Socialist state.
 
Kuna clip mwandishi wa TRC anazungumza na engineer anayejenga Treni zetu za umeme. Yule muhandisi anatumia kiingereza. Hii Indonesia hata mataifa makubwa yanajali kiingereza.

Kusema kweli tulibugi big time kwa haya maamuzi ya kipuuzi tuliyofanyaga na inabidi yawe reversed na yafutwe kabisa
 
Tatizo waliangalia wapi katikati sio wapi pana unafuu
 
Baba wa taifa Mwl JK Nyerere aliona mbali sana. USA na China ni Socialist state.
Hakuona umbali wowote. Maamuzi yange mengi sana ndo yamesababisha matokeo tuliyonayo leo.

No wonder ndo Rais aliyejaribiwq kupinduliwa mara nyingi zaidi kwenye historia ya nchi yetu. It seems watu wengi walikuwa wanaona anatupeleka kusiko
 
Ifike wakati tuzungumze ukweli ,hasa kwenye masuala kama haya ambayo yanagusa wananchi moja kwa moja ,bila kujali utofauti uliopo kati yetu iwe kidini ,kikabila na kiitikadi. Kwanza kabisa lazima kila mtu aelewe kwamba nnachotaka kuzungumza hapa Ni kitu ambacho wengi hawakijui, kiasi kwamba mimi mwenyewe sijui nataka kuongea nini.
Asanteni sana.
 
Maana gani ya msingi ya kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu?

Ndo hiyo mnadai mkoa wa katikati mwa Tanzania?

Katika karne hii ya sayansi na teknolojia hiyo hoja ina msingi gani?
Hili la Dodoma kuwa makao makuu halikuwaanza gafla ilikuwa ni mchakato wa muda mrefu toka enzi za mwalimu

Na wewe unavyopinga Dodoma kuwa makao makuu kwa hoja ya ukame eti selikari itatumia gharama kubwa eti bora pwani sasa pwani si ndio ingetumika gharama kubwa zaidi.
Ndio maana nasema nyie wajinga wajinga ndio mnaturudisha nyuma sana hii nchi.Tanzania ni nchi yenye wajinga wengi sana mna kila kitu lakini mmekosa akili
 
Daah....
 
Wewe ndo mjinga.
Huelewi gharama za kupendezesha sehemu zenye ukame? Umeishia darasa la ngapi?

Nikupe mfano. Sehemu ambayo mvua zinanyesha miezi 2 kwa mwaka na sehemu ambayo mvua zinanyesha miezi 6-7 kwa mwaka wapi ni nafuu kuweka bustani ya majani?
 
Wewe ndo mjinga.
Huelewi gharama za kupendezesha sehemu zenye ukame? Umeishia darasa la ngapi?

Nikupe mfano. Sehemu ambayo mvua zinanyesha miezi 2 kwa mwaka na sehemu ambayo mvua zinanyesha miezi 6-7 kwa mwaka wapi ni nafuu kuweka bustani ya majani?
Samahani Mkuu..kwani Kuna bustani iliyopandwa matofali!!??
 
Sijawahi ona mama mjamzito kafa kwa Corona ulitafuta kichaka tu cha kuficha ukilaza wako tu .
 
Naunga mkono hoja
 
Wewe ndio wa hovyo kuliko yote uliyoyataja hapo, sababu unadhani maamuzi na matakwa ya nchi ambayo hayakufanikiwa hayakuwa na misingi ama maono wakati yanatekelezwa!
 
Wewe ndio wa hovyo kuliko yote uliyoyataja hapo, sababu unadhani maamuzi na matakwa ya nchi ambayo hayakufanikiwa hayakuwa na misingi ama maono wakati yanatekelezwa!
Hakukuwa na msingi wowote kufanya hayo maamuzi.

Nikuulize! Watu wanaishi vizuri na wanaendelea na shughuli zao za kujitafutia kipato vizuri kabisa. Sasa kulikuwa na haja gani kuwaondoa kwenye shughuli zao kuwapeleka sehemu za maporini wakaanze maisha 1?
 
Vp kuhusu wale waliokua scattered huko maporini walivokusanywa pamoja kwenye vijiji vp haikua sawa kurahisisha utoaji wa huduma kwa urahisi na kusave gharama za kuunda miundombinu kufikia wananchi wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…