Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Ndio maana minasemaga skuuzi jf imejaa mavijana ya hovyo sana. Hiyo comment yangu umebeba mbadala wa mawazo ya vijana wengi.
Yaani Jf yetu ilikua poa sana, na kilakitu kilukua kimyakimya....😜
Kimya kimya mbuyu chini🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi machozii.
Unamfuata mtu kwao tena mwanza kutoka Dar?? Udugu unayawezaa kwa kweli Lol.
Acha tu udugu wangu nimekoma
 
Wewe nilikuwa na mpango wa kutuma posa nimeahirisha hadi wakati ujao...
Mambo ya kuvunjwa vunjwa hapana🀣🀣🀣
Wewe sikataa ndoa wewe
 
Udugu wangu, kanuni ni 1 anakupa kabisa pesa ya kila kitu afu ndo mnaanza maongezi sasa. Uwiiiiih
Aliniteka na suatu utani wake jaman hiii hawa wanaume mimi hapana
 
Lakini wana Mwanza tumeonyesha ukatili ulio changamka sana. Najua hatutapata mgeni tena...πŸ˜›
Kabisa na hamustahili mgeni mwingine πŸ˜‚
Japokua nmekua hapo last month
Mm mgeni wangu alinipokea vizuri jaman
Kwa siku 3 sikujuta...Ila kawaida baadhi ya makosa hayakosekanπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uzuri wake tulianza onana face kwa face soma vizuri uelewe
Mi najifurahisha tu mpendwa usinichukulie siriazi.

Itoshe tu kusema huyo ngosha mwenzetu alizingua. Sasa usingekuwa na pesa za kulipia hizo siku tatu ulizokaa hapo ingekuwaje? Hata kama alikuta yaliyopaswa kuwemo hayamo, hakupaswa kufanya hivyo. Angalau angelipia hiyo huduma ya usiku mmoja ndiyo atokomee zake. Pole sana!
 
Ukome wasukuma hatutaki watumia mikorogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…