Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Kabisa na hamustahili mgeni mwingine πŸ˜‚
Japokua nmekua hapo last month
Mm mgeni wangu alinipokea vizuri jaman
Kwa siku 3 sikujuta...Ila kawaida baadhi ya makosa hayakosekanπŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu ebu njoo PM tuyajenge, kama aje umteme huyo mwenyeji wako nimtunze hapa Mwanza...πŸ˜‹
 
Mjinga wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa alimwambia mdeni wake kwamba izo pesa nazokudai peleka home mpe wife!
Jamaa mjanja janja kafika pale akazuga na stori kibao kisha akamwambie mke wa jamaa nikupe laki4 unipe nikutikise vuzzi..

Mke akakubali akapigwa mashine jamaa akaondoka zake!muda kidogo mume anapiga simu kwa mke kama mdeni ameshapeleka pesa!!mke alihisi kuzimia
 
Aliacha 100k
Unataka kuniambia mkazi wa Mwanza ataogopa ziwa victoria?
Huu ni uhuni alifanyaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama ni mume wa mtu ulitarajia utakaa nae wiki hapo? Afu wewe unakaa Dar yeye Mwanza unafikiri huko Mwanza hana mtu?

Anyway
Hayo ya kuwa na mtu wala sio shida ila shida time
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu bado huwajui wanaumee?? Woiiiiiih
Mm napenda mwanaume awe na sauti mzuri yaan mwanaume fulani hivi anaongea kivivu
 
Mkuu ebu njoo PM tuyajenge, kama aje umteme huyo mwenyeji wako nimtunze hapa Mwanza...πŸ˜‹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aweeeee shindwa kabisa
Niligaramika Ila utelez nao nliufaidπŸ˜‚πŸ˜‹

Dada WA huu uzi hebu njoo naeza nkaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…