Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar


Unapendekeza kwa nani?? Binafsi Lema ni mmoja kati ya majasiri nilowahi kuwaona.
 
Nashangaaa jipu kubwa kama ilo tena lipo usoni halitumbuliwi,,.chenga chenga za bashite
 
Siko chama chochote lakini maandiko yako kiasi fulani huwa yana maana! Lakini kwa hili, is typically a failed propaganda!
 
Hahahaha hii kiboko walahi....,hahaha
 
Sina tatizo na ujasiri koko wa lema ninachopinga ni Child Labour kwenye evil politics za lema awe anatumia wanawe au watoto wa wengine hawatendei haki

Ujasiri wako upo wapi ili tuweze kuulinganisha na ule wa lema ulio koko?? Child Labour umeona kwa Lema? Kama mimi na wewe tumeshindwa kuifanya Tanzania ambayo watoto wetu watajivunia nayo, Lema kajitoa. Hatuna budi kumuombea na kumsupport.
 
mkuu mwambien ndugu yenu atoe ukakasi kuhusu vyeti achana na habqri za wemasepetu
Kumbuka kuwa muhimu ni kulinda Ndoa ya Mama Lema, ni dhahiri iko hatarini. Vyeti vya Rc havina umuhimu kama kulinda Ndoa ya huyu mama Kamanda.
 
LIZABONI mbona unazidi kujiaibisha?Kwa hiyo wewe umekuwa mke wa LEMA Kwa sasa?
 
Makondae kabanwa kweli unanidhamu hata kwenye posti pole umerudi hamisha hela mapema manake unaondoka
 
Kumbe kaandika huyu mdaku.... Lizabon
 
Kamanda, kwani kwenye uzi huu kuna.mahala nimeponda upinzani? Kuwa mpole kamanda
.... Kwa nini usitumie muda wako mkuu hata angalau kujadili aliyosema CAG kwani yanatugusa sana sisi wote kuliko hiki ulicholeta??
 
Sasa wewe na Lizaboni jf nani anaaminika na kusomwa zaidi ya Mwingine?
... Magazeti ya udaku ya Shigongo yanasomwa sanaa ukilinganisha na hard news paper but nini hasa kinapatina kwenye magazeti ya udaku??
 
Lema ndio kishachukua zigo lile,tusubiri picha akila mzigo live na kula denda kwenye magazeti ya Kiwi
 
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
SAWAhayo tunayajua sasa weka VYETI Wema tuachie sisi si kashawaachia chama chenu au,,,,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…