Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Kumbe kusoma shule nzuri mdio kutoboa kimaisha? Wangapi wamesota kwenda shule hata ndala hana leo hii ni matajiri au viongozi wakubwa? Acheni uzungu we kwenu mmezaliwa wangapi?
 
UNAPO SHANGAA KWA NINI MATAJIRI WANA WATOTO WACHACHE, SHANGAA PIA KWANINI MASKINI WANA WATOTO WENGI.

Ila ukirudi katika hesabu utagundua kwanini mmoja maskini na mwingine tajiri.

Kwa malezi ya kistaarabu Mtoto mmoja gharama ya malezi yake hadi akifika chuo na kuanza kujitegemea ni miaka si chini ya 28 hadi 30.

Fanya kila siku katika malezi unatakiwa kuwekeza 5000 kwa mtoto kwa maisha yake yote toka tumboni, shule, mavazi, chakula na matibabu.

Tsh 5000 xsiku 30 x miezi 12 x miaka30=Jumla Tsh Milioni 54,000,000/- kwa mtoto mmoja katika malezi.

Ukimaliza malezi unakua amesha zeeka na kustafu..labda umebakisha miaka 10 au 15 mbele ya kuishi.

Sasa uamuzi ni wako chagua kuzaa watoto wacheche na hela ya watoto wengine uwekeze kwenye kununua hisa katika mabenki ujilee uzee wako wewe mwenyewe kwa kula hisa zako.

Au uzae watoto wengi uwekeze katika majukumu uitwe maskini na ubaki ukilaumu kuwa watoto hawakusaidii.

Wakatiohuo nao wapo katika majukumu yao ya msingi.
Sasa hyo 5000 kwa kila mtoto unaweza kuiwekeza?

Wakati asilimia kubwa ya wa tz ni maskini ambao hyo 5000 inaishia kwenye bajet ya chakula tena sio kwa wote.

Hzo hesabu waachie matajiri ww zaa,zalisha uwezavyo.

Ukipiga plan ya tajir kuzaa +maskini kuzaa wala siyo kukuza uchumi au kushuka kiuchumi.

Shida ni je uwezo wa kiwekeza hiyo 5000/ upo.

Fikiria umezaa watoto 2 unalipwa salar 400000/= inamaana kwa mwez inatakiwa uwatunzie watoto wako 300000/= utabakiwa na shiling ngapi bado ujala ujaendesha maisha utatoboa ww.

We zaa ata watoto 20 weka apo. Afu uone kama awataishi.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Labda kwa kipato chake....ana uhakika atawasomesha na kuwapa maisha bila yeye kuathiri kesho yake...!
Ahaa hapo sawa. Nikajua sie wenye zaidi tushakiuka mipaka iliowekwa.

Ila to me kwa imani yangu kila mtt anakuja na rizk yake, tukiongelea issue ya kipato.

Ila sisupport mtu kuwa na wtt wengi then akashindwa hata kwenye malezi... kuwalea wtt katika misingi mizuri na maadili mazuri, hili ndio la msingi sana sana....tusiangalie kwenye kula, kuvisha, na kusomesha tu....tuangalie mtt unamleaje ili awe Tija kwenye jamii yake.

Nitakupa mifano miwili ninayoijua mie, kuna baba mmoja alijaaliwa wtt wawili tu wa kike na wa kiume (sijajua kama ilikuwa ni kupanga apate hao tu na wamemtosha au ndio Mungu Alimjaalia) lkn hawa wtt maskin haikuwa rizk....wa kike alifariki kwa ukimwi na wa kiume mla unga hafai, alikuwa na kazi ya maana kweli akaiwacha na kujiingiza kwenye kuvuta unga, na sasa anatangatanga tu hakuna familia inayotaka kumkaribisha mana kachoka kawa kama chokoraa

Na kuna mama namjua kajaaliwa kupata wtt km 7 au 8 kama sikosei lkn haws wote MashaAllah wapo vizuri mno, kuna lecturers humo, kuna doctors, kuna engineer, kuna accountants, kuna anaefanya business yake kubwa tu. Yaani kwa ufupi hakuna alosoma chini ya masters na maisha yao ya ukuwaji walikuwa na kipato cha kawaida sn hawakuwa matajiri.

So haya mambo hayana formula yakhee.....hata ukiwa nao wtt 100 cha msingi waongoke tu na wawe wema na wenye manufaa kwa jamii
 
Kwa hoja yako inaonyesha hesabu inakizi vigezo vya kujimudu, hii ikiwa na maana uwezo wako ni mkubwa unaweza kulea na kuendesha maisha yako bila kuteteleka mbeleni.

Maisha ni namba malezi ni namba watoto ni namba na namba moja ikizidi kuliko nyingine hasa namba hasi inaweza kuathiri mfumo

Kwa hivyo basi idadi sio mbili au tatu idadi sahihi ni ile ambayo HASI (-) haizidi CHANYA (+)...Through out....

Kama utaweza ku-maintain kopo la asali lisiishe dhidi ya walambaji na ukaweza kujitegemea mwishoni bado huja zidisha.

Hiyo kwa hapa INPUT must be greater than OUTPUT consistently[emoji23]
Hapo ndio umesema so u wingi au uchache wa watoto inategemea mtu na mtu na kopo lake la asali
 
Duu nakabinti kangu kamoja naishi nacho mama yake anakula bia nakupanda juu ya meza kitambaa cheupe [emoji1787][emoji1787] looooh apana asee.
Pole sana aisee,, lakini uwepo wake ni faraja kwako au nasema uongo
 
Kwenu mmezaliwa watoto wangapi??

"ENENDENI NA MKAIJAZE DUNIA"
 
Back
Top Bottom