Baba mtumishi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 306
- 266
Kweli wajinga ndiyo waliwao,timu inamwekezaji na wadhamini wengi tu ,Leo hii eti mnachangishana milioni100?Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.