Hii ndiyo Simba SC mpaka muda huu tayari Mashabiki wa Simba SC wameshajichangisha Milioni 32 kati ya Milioni 100 za CAF ili ikalipwe kama Faini

Hii ndiyo Simba SC mpaka muda huu tayari Mashabiki wa Simba SC wameshajichangisha Milioni 32 kati ya Milioni 100 za CAF ili ikalipwe kama Faini

Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Kweli wajinga ndiyo waliwao,timu inamwekezaji na wadhamini wengi tu ,Leo hii eti mnachangishana milioni100?
 
Mpaka leo saa tatu asubuhi

IMG-20250118-WA0007.jpg
 
Nusu kwa timu nusu kwa Mwamedi,watu watapigwa kama walivyopigwa za uwanja
 
Back
Top Bottom