Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

Kwani wangapi wana elimu hapa Tanzania lakini hawajagundua chochote??!!! Kubali tu kuwa Bongo zetu Waafrika zimelala
Kwahiyo tuache kupeleka watoto shule, tusubiri tuwe kama china??

Unaichukulia poa elimu mzee, ila hata hapa jf upo kwasababu Melo ambae kaenda shule kakuletea hii platform, umejua kusoma unaunganishwa na dunia kwasababu ya elimu uliyopata.

Umeelewa kiwepesi hiyo treni inavyofanya kazi kwasababu ya elimu uliyopata.
Kama wewe elimu yako haikusaidii kitu basi akili yako binafsi ndio mbovu na sio akili za wote.

Afrika vyanzo vya matatizo ni vingi na elimu duni kwa wananchi ikiwa kimojawapo.
 
Wewe tunaenda pamoja!.
 
Kwa kasi hiyo, hivyo vyuma si vitawaka moto. Msuguano utakaokuwapo hapo si wa kitoto.
Maglev ni kama treni inakuwa inaelea juu ya reli na si train ya kwanza, ziko china na japan nadhani na korea sema hii imearchieve speed zaidi lakini zote huwa zina speed kali.
 
mchina nyoko, kashampita jpan maana ya jp inaenda 600km/hr
mchina anazo treni kadhaa za maglev hii imeafikia kasi mpya. Hizi treni hata wazungu wenyewe wanazishangaa kama ni mfuatiliaji wa page za china na YT channels za matravellers maana hata huko marekani na ulaya hakuna kwa sababu ya ughali wa kuzitengeneza na kuziendesha.
 
Na hapo viongozi wao hawana chawa wakuwasifia ovyo wala kupongezana kulikopita kipimo.Wenzetu kazi kazi sio ngojera na pongezi za kila saa ata kwa kazi kiduchu.
 
Itoshe kusema kuna binadamu vichwa vyao vinashughulika ipasavyo.
 
Unaota ndoto za Alinacha.
 
kwan mkuu nimesema hii ndo maglev train ya kwanza uchina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…