Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

1. Wabongo wengi wanathamini mahusiano kuliko mambo mengi sana mengine, hata mazungumzo ya hapa JF yanaonesha hilo.

2. Kuthamini mahusiano hivyo, kunafanya mambo mengine yadorore. Muda unaoutumia kufikiria mahusiano, kufukuza mbususu etc, ni muda ambao hufanyi shughuli za kiuchumi, huongezi elimu, huchangii kutatua matatizo ya dunia etc.

3. Hilo linafanya jamii iwe na wajinga masikini wengi.

4. Jamii yenye wajinga masikini wengi inaingia kwenye mahusiano kijinga na kimasikini, na kusababisha matatizo mengi kwenye mahusiano.

5. Jamii hii inazaa na kulea watoto wengi, bila mpango, kijinga na kimasikini. Na watoto hawa wanarudia vicious cycle of poverty kuanzia 1 tena pale juu. Kwa kasi kubwa sana ya kuongezeka watu, kila mjinga masikini anaongeza wajinga masikini kadhaa.

Point.........✊🏻✊🏻✊🏻
 
Yes ila hawa wa ndoa changa ndiyo inasikitisha zaidi,wale wakongwe migogoro na kuchokana inachangia na haishangazi sana kut*mbesha.
Ndoa is a failed white elephant project katika enzi hizi za utandawazi!!!!

Nawashangaa sana walioa na wanaoendelea kuoa.Na yote hii ni kwasababu watu bado hawajajitambua na waishi kwa kujistukia.Gademit!!!

📌Kijana kataaa ndoa,ndoa ni utapeli na hasara kwa kijana mpambanaji!!!!
 
Kwahiyo hapo mwanamke ana chat na mwanamke mwenzie au mwanaume

Kwanini alaumiwe mwanamke tu ?

Baadhi ya wanaume ni ma faller kupita kawaida
Kwasababu kwenye mahusiano na ngono gatekeeper ni mwanamke.

Wanaotaka kuingia ndani they'll always be there, ila mwenye dhamana ya kuruhusu waingie ama lah ni mlinzi getini, akiwa imara authorised personnel tu wataingia na sifa atapewa mlinzi getini.

Vivyo hivyo akiwa weak kuruhusu unauthorised personnel.
 
Acheni huo ujinga sex ni baina ya watu wawili yaan alaumiwe matongozwaji

Alietongoza anaonekana yupo sahihi
Hivi mnafikiria kwa kutumia nini?
 
Na ukishamkuta ashatumika namba ya body count hauwezi kuijua kwahiyo suluhisho ni kuoa bikira tu. Tatizo tukisema ukweli ndio wanawake na waliooa mitumba wote wanaungana kutushambulia
Bikra ni halali kabisa kuoa, je wewe mwenyewe umejitunza au ni double standards tu za mahusiano ilimradi tuwasigine Ke?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hakuna mwanamke mrahisi kumngonoa kama MKE WA MTU,YAANI NI KAMA KUSUKUMA MLEVI.Usipokuwa na mipaka unakula mpaka unakombelezea.

#Acha waarabu waendelee kuwafunga ndani tu Wanawake akili zao wanazijua wao.
Na bado wanachapika na house boys, usijichanganye kamwe kumridhisha binadamu yeyote, hutafanikiwa milele.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Ndiyo Kiranga kauliza body count inahesabika kwa Ke tu ila kwa Me ni jinsi, Me tuna unafki mkubwa mno.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mimi nikisoma comment hua nashangaa watu walivyo wajinga

Unakuta mwanaume alielala na wanawake zaidi ya kumi anataka kuoa bikra hivi mtu kama huyu kwa akili ya kawaida yupo timamu?
 
1. Wabongo wengi wanathamini mahusiano kuliko mambo mengi sana mengine, hata mazungumzo ya hapa JF yanaonesha hilo.

2. Kuthamini mahusiano hivyo, kunafanya mambo mengine yadorore. Muda unaoutumia kufikiria mahusiano, kufukuza mbususu etc, ni muda ambao hufanyi shughuli za kiuchumi, huongezi elimu, huchangii kutatua matatizo ya dunia etc.

3. Hilo linafanya jamii iwe na wajinga masikini wengi.

4. Jamii yenye wajinga masikini wengi inaingia kwenye mahusiano kijinga na kimasikini, na kusababisha matatizo mengi kwenye mahusiano.

5. Jamii hii inazaa na kulea watoto wengi, bila mpango, kijinga na kimasikini. Na watoto hawa wanarudia vicious cycle of poverty kuanzia 1 tena pale juu. Kwa kasi kubwa sana ya kuongezeka watu, kila mjinga masikini anaongeza wajinga masikini kadhaa.
Ndugu Kiranga , hii naweza kuichukua na kuifanyia lamination tafadhali!!??
 
GEnerally: wabongo tupo socially na sio economically 😁
 
Back
Top Bottom