Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

Upo sahihi kinadharia, lakini practically unachoongea ni kigumu sana kutokana na namna mahusiano yetu waafrika yanaundwa. Kuanzia mwanaume anapotongoza mpaka kuoa(kama mkifika hatua hiyo) anabebeshwa gharama zote za kuendesha mahusiano kama kuhudumia, kulipa mahari, harusi n.k.

Mfumo tulioujenga unampa mwanaume mentality ya kummiliki meanamke. Kwa unachokiongea ili kukileta kwenye practice kwanza wanawake anzeni kupiga vita suala la kuhudumiwa na mwanaume, mahari na kumbenesha mwanaume gharama zozote za mahusiano, yaani kinachowaunganisha kiwe mapenzi tu suala la hela kila mtu afanye abaki na hela zake au wote mchangie bill. Wazungu wanafanya hivyo. Hakuna masuala ya kuhudumia girlfriend kule ndio maana ni ngumu sana kusikia watu wameuana kisa mmoja kachapiwa.

Changamoto ya wanawake wa kiafrika hamtaki roles za traditional woman kama loyalty, submisive, housewife n.k lakini mnazitaka benefits anazozipata tradition woman kama provision, sacrifices na commitment kutoka kwa mwanaume. Hapo ndipo mnaishia kupigwa risasi na kucharazwa mapanga
U selfish ndio una watesa nyie mnataka kumchkulia mwanamke kama mtumwa na sio msaidizi

Hayo niliyosema yanawezekana
Ila ukahidi tu
 
Kushikiana simu siyo Shida mkuu, kama hapo jamaa kashapewa taarifa kwamba asitafute mpaka atafutwe yeye.

Kwahiyo unaweza kuomba simu ukapewa na usione chochote, ila mke akipata muda anampigia mshikaji wanamanuana kama hakijatokea kitu.

Ni kubaya mazee
Kwa point hiyo, hapo kweli fumanizi la simu halipo.
 
Usihudumie mwanamke hususani kama kipato chako ni kiduchu

Kwa sababu utabaki na majuto
kuhudumia hua hulazimishwi ni wewe tu na kiranga chako

Mimi sina shida na suala la kuhudumia mwanamke ambaye naona anastahili. Mke wangu wangu namhudumia kila kitu na tunaishi kwa amani na upendo. Nimeuliza tu hiyo logic uliyotumia wewe. Inakata kila upande, au ni logic inayotumika pale mnapokua wanufaika tu?
 
Point ni kwamba wewe tafuta tajiri mwenzio masikini anaetamani matajiri muache mbona simple😊
Sahihi kabisa!

Na wewe tafuta bikra mwenzio alietumika anaetamani bikra muache, it's that simple too 🤭
 
Sahihi kabisa!

Na wewe tafuta bikra mwenzio alietumika anaetamani bikra muache, it's that simple too 🤭
Ni tofauti sana huo mfano mwanamke anataka au kutamani tajiri hakuna sehemu yoyote aliecha athari

Wewe unaetamani bikra huku umepita na msururu wa wanawake hao wanawake una muachia nani?

Kama nini huyo mwanamke bikra usimwachie wanaume wenzio walio jitumza I mean wanao deserve

Tumia akili kusoma comment yangu badala ya kujibu kama tuna sutana utaona hoja yangu
 
Mimi sina shida na suala la kuhudumia mwanamke ambaye naona anastahili. Mke wangu wangu namhudumia kila kitu na tunaishi kwa amani na upendo. Nimeuliza tu hiyo logic uliyotumia wewe. Inakata kila upande, au ni logic inayotumika pale mnapokua wanufaika tu?
Logic niliyotumia Inakata kila upande mkuu mie hua naangalia haki sio kusimama na gender fulani kuhalalisha jambo
 
Kama unaona kumpa mtu hela ni rahisi basi fanya kazi ukilipwa mshahara wako mwisho wa mwezi gawa kwa watu/mtu
Nimesema je mwanaume anaetoa hela na baadae kulalama huoni ni ujinga kaka?

Kwani unashikiwa kisu kutoa hiyo pesa ?
Kama unaona hakuna maslahi usitoe pesa hiki sio kitu cha kulalamikia kipo ndani ya uwezo wako
 
Ni tofauti sana huo mfano mwanamke anataka au kutamani tajiri hakuna sehemu yoyote aliecha athari

Wewe unaetamani bikra huku umepita na msururu wa wanawake hao wanawake una muachia nani?

Kama nini huyo mwanamke bikra usimwachie wanaume wenzio walio jitumza I mean wanao deserve

Tumia akili kusoma comment yangu badala ya kujibu kama tuna sutana utaona hoja yangu
You see, kumbe hiyo logic ipo applicable only when it favours you! 🤗

Athari zipi hizo unazozizungumzia ilhali wameruhusu bikra zao kutolewa kwa utashi wao?

Unakuta binti miaka 14, 15 kwa tamaa zake anakubali kuigawa bikra, hapo anatarajia nini?

Wangapi wamejitunza hadi 25+ muda wa kuolewa wakaja rubuniwa na 'waliotaka kuwaoa'?

Bikra nyingi zinatolewa miaka ya mwanzoni kabisa ya balehe, hivyo mwanamke kama gatekeeper wa sex haiwezekani asiwe accountable kwa hilo.
 
Back
Top Bottom