Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
You see, kumbe hiyo logic ipo applicable only when it favours you! 🤗
Athari zipi hizo unazozizungumzia ilhali wameruhusu bikra zao kutolewa kwa utashi wao?
Unakuta binti miaka 14, 15 kwa tamaa zake anakubali kuigawa bikra, hapo anatarajia nini?
Wangapi wamejitunza hadi 25+ muda wa kuolewa wakaja rubuniwa na 'waliotaka kuwaoa'?
Bikra nyingi zinatolewa miaka ya mwanzoni kabisa ya balehe, hivyo mwanamke kama gatekeeper wa sex haiwezekani asiwe accountable kwa hilo.
Logic ya mutually accountability huwa wanaikwepesha ikiwa inaubana upande wao.