Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

Unajua hatuelewani wapi kaka?

Kwanini unataka kumbebesha mwanamke lawama huku ukisahau kwamba wewe ndiye unayem-approach?

Bila wewe kum-approach mwanamke, hiyo bikra itatolewaje?

Je, mwanamke anaweza kujitoa bikra yake mwenyewe bila mwanaume?

Kwanini wewe umtongoze mwanamke halafu baadaye umtupie lawama mtongozwaji?

Hivi kwenye kipengele hiki unatumia logic gani?

Tukija kwenye swala la huduma, hili ndio kabisa hutakiwi kulalamika

Kwa sababu hulazimishwi kuhudumia. Unaweza kukataa

Sasa sijui ni logic ipi unayotumia kusema kwamba mwanamke anakulazimisha kumhudumia kwani ni mke wako?

Hakuna ambapo nimelalamika na hakuna ambapo sijakuelewa. Nimekupata kupata vizuri unataka mutually accountability. Ambapo unajipinga mwenyewe ni kwamba unachagua chagua hiyo mutually accountability iwe kwenye maeneo gani. Unaonekana kukwepesha logic yako ya pande zote kuwa accountable pale ambapo logic inambana mwanamke.

Kitu kingine ambacho haukielewi ni kwamba kuna nature. Naturally wanaume na wanawake kuna saikolojia tunazaliwa nazo. Hatuachagui kuwa hivi. Vilevile kuna namna dunia inatuhukumu kitofauti. Suala la past atahukumiwa mwanamke, suala la umasikini atahukumiwa mwanaume. Ipo hivyo na hauwezi kubadilisha. Kwamba leo hii ukataka mwanamke mwemye past mbaya aheshimike au mwanamume masikini athaminiwe. Hiyo haiwezekani.

Binafsi nakubali sio fair. Kwanini mwanaume na mwanamke wawe na historia ya kuwa na mahusiano mengi lakini ahukumiwe mwanamke. Kwanini mwanaume na mwanamke wawe masikini lakini mwanamke apendwe na athaminiwe na mwanaume atengwe na ashushwe thamani ya utu wake. It's not fair, but that's nature. You can't wrestle it. Just stay in your lane.
 
Na ukishamkuta ashatumika namba ya body count hauwezi kuijua kwahiyo suluhisho ni kuoa bikira tu. Tatizo tukisema ukweli ndio wanawake na waliooa mitumba wote wanaungana kutushambulia
Huo ndio ukweli chief,
Wacha waungane, mti wenye matunda 😂
 
Hakuna ambapo nimelalamika na hakuna ambapo sijakuelewa. Nimekupata kupata vizuri unataka mutually accountability. Ambapo unajipinga mwenyewe ni kwamba unachagua chagua hiyo mutually accountability iwe kwenye maeneo gani. Unaonekana kukwepesha logic yako ya pande zote kuwa accountable pale ambapo logic inambana mwanamke.

Kitu kingine ambacho haukielewi ni kwamba kuna nature. Naturally wanaume na wanawake kuna saikolojia tunazaliwa nazo. Hatuachagui kuwa hivi. Vilevile kuna namna dunia inatuhukumu kitofauti. Suala la past atahukumiwa mwanamke, suala la umasikini atahukumiwa mwanaume. Ipo hivyo na hauwezi kubadilisha. Kwamba leo hii ukataka mwanamke mwemye past mbaya aheshimike au mwanamume masikini athaminiwe. Hiyo haiwezekani.

Binafsi nakubali sio fair. Kwanini mwanaume na mwanamke wawe na historia ya kuwa na mahusiano mengi lakini ahukumiwe mwanamke. Kwanini mwanaume na mwanamke wawe masikini lakini mwanamke apendwe na athaminiwe na mwanaume atengwe na ashushwe thamani ya utu wake. It's not fair, but that's nature. You can't wrestle it
Achana naye huyo mjinga anajifanya haelewi.
 
Kwani nani alimfata mwenzake? Aliye mfuata mwenzake ndiye anapaswa kubeba majukumu yote ikiwemo na hilo la kujitunza.

Hapa ndipo mnapofeli. Logic ile ile ya mutually accountability mnaikwepesha ikionekana kumbana mwanamke. Ukifuatwa na ukakubali basi consequences za maamuzi yako zitakapojitokeza hauwezi kusema nilifuatwa. Kama unataka uwajibikaji na wewe pia lazima ukubali kuwa sehemu ya tatizo.
 
Usihudumie mwanamke hususani kama kipato chako ni kiduchu

Kwa sababu utabaki na majuto
kuhudumia hua hulazimishwi ni wewe tu na kiranga chako
Check ulivyo kichwa panzi kwenye hii comment na mwanamke aliyetiwa na wanaume lukuki anakuwa amelazimishwa au ni kiranga chake?
 
Achana naye huyo mjinga anajifanya haelewi.

Inachosha kweli kweli kujumuika na wanawake kwenye mijadala kama hii. Wapo driven sana na emotions, badala ya logic. Huyo juu kagusia logic ya mutually accountability kwenye promiscous past. Nikambadilishia case study tu. Nimemtoa kwenye promiscous past nimeleta kwenye provision cha kushangaza huku kwenye provision kaikana ile ile logic yake ya mutually accountability
 
file_000000001ba08211b78831bc9ccf9f9a.png
 
Body count matters more... .. huwezi oa manze body count inasoma 5+ halafu unambie wewe muoaji ambaye una Nia ya kweli utegemee huyo mwanamke awe na strong Emotional attachment kwako...
Siku hizi kumpata mwenye body count ndogo ni almost impossible.labda tu uamue kujidanganya.
Dada zetu Hadi wanakuja kuolewa wanakuwa wametumika sana.
Omba tu umpate mtu sahih mnayeendana
 
Back
Top Bottom