Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sio mbaya kuwa makini usije ukajikuta unaoa same shit na kuacha tabia ni zilezile mdogo’etu !tunafanya co-oparenting kwa sasa, ntaoa baadae sana nikifka 35yrs
Sio mbaya kuwa makini usije ukajikuta unaoa same shit na kuacha tabia ni zilezile mdogo’etu !tunafanya co-oparenting kwa sasa, ntaoa baadae sana nikifka 35yrs
Kuna watu wanarahisisha sana hizi nadharia! Ukiona hivyo basi hiyo ni takataka!Hakuna mwanamke anayejitambuwa anafanya biashara hiyo, ukiona hivyo hiyo ndoa ni ya kuondowa nuksi tu kajishikiza tu.
bi dada hakuwa na shda kihvyo ttz lilikuwa kwangu, nimekuelewaSio mbaya kuwa makini usije ukajikuta unaoa same shit na kuacha tabia ni zilezile mdogo’etu !
Kwanini usimrudie tu kuepusha mambo mengi mengi?bi dada hakuwa na shda kihvyo ttz lilikuwa kwangu, nimekuelewa
hapana let bygones be bygonesKwanini usimrudie tu kuepusha mambo mengi mengi?
Unazingua..hapana let bygones be bygones
Kuna watu wengi wanaowa malaya bila kujijuwa, halafu cha pili ni life style, mtu ni dereva anakaa acongo mpakabmiezi 6 huo pia ni mtihani, serikali kuhamia Dodoma nayo imeyumbisha ndoa nyingi mwenza wa kiume hawezi kuhama Dar eti kisa mke wake kahamishiwa Dodoma kuna mazingira ambayo kama uliowa malaya lazima aliwe tu wala siyo na Ex tu msela yoyote mjanjamjanja mnamkula vizuri tu tena anakuwa na waume wawili wa Dodoma na wa Dar.Kuna watu wanarahisisha sana hizi nadharia! Ukiona hivyo basi hiyo ni takataka!
toka mwanzo hatukua na mpango wa ndoa ila kilichotokea sio ugomvi, wote tulielewana fresh, na juzi kawa engaged juzi alhamis tulikuwa kwenye send off ya ndg yake, na yake mwakani tutakuwepo kukiwasha mpk bwana harusi aone wivu,,Unazingua..
Sema nimekupenda bure, wenzio wana spirit ya kujiamini sio poa
Anamtenda hivyo mwanamke na bado anakuja kujaza server za melo kwa maneno makali
Sijaelewa kukiwashaje?toka mwanzo hatukua na mpango wa ndoa ila kilichotokea sio ugomvi, wote tulielewana fresh, na juzi kawa engaged juzi alhamis tulikuwa kwenye send off ya ndg yake, na yake mwakani tutakuwepo kukiwasha mpk bwana harusi aone wivu,,
huo ndiyo muda sahihi as long nina watoto basi ndoa sio prior kwa sasa...... tuombe uzima
kwenye sherehe yaaniSijaelewa kukiwashaje?
Duhh kweli umeamua kumgeuza mshkaji sijui dada🙌🏾kwenye sherehe yaani
mshkj sjui dada sijakuelewaDuhh kweli umeamua kumgeuza mshkaji sijui dada🙌🏾
Baby mama wako unamchukuliajemshkj sjui dada sijakuelewa
ni rafiki, kwa sasa kwahiyo naenda kwenye sherehe ya rafiki yangu namtakia kila lenye kheriBaby mama wako unamchukuliaje
Duh kila la kheri! Akishaolewa kaa mbali..ni rafiki, kwa sasa kwahiyo naenda kwenye sherehe ya rafiki yangu namtakia kila lenye kheri
tunawasiliana kwa sababu maalumu km hizo otherwise mm sinaga hiyo timeDuh kila la kheri! Akishaolewa kaa mbali..
Sawa, unafanya vizuri.tunawasiliana kwa sababu maalumu km hizo otherwise mm sinaga hiyo time
Logic niliyotumia Inakata kila upande mkuu mie hua naangalia haki sio kusimama na gender fulani kuhalalisha jambo