Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

Hapa ndipo mnapofeli. Logic ile ile ya mutually accountability mnaikwepesha ikionekana kumbana mwanamke. Ukifuatwa na ukakubali basi consequences za maamuzi yako zitakapojitokeza hauwezi kusema nilifuatwa. Kama unataka uwajibikaji na wewe pia lazima ukubali kuwa sehemu ya tatizo.
Anayemfata mwenzake anatakiwa kuwajibika.
 
After 10 years hii taasisi ya ndoa itakua taabani sana huruma ni kwa vijana wetu ambao wataoa miaka ya mbele
 
Anayemfata mwenzake anatakiwa kuwajibika.

Hakuna aliekataa kuwajibika, kinachoongelewa ni ile equation inayoleta balance. Anaewajibika kuna rewards lazima azipate ili equation iwepo mfano wa hizo rewards ni submission na loyalty. Hivyo basi anaewajibikiwa kabla hajapokea chochote lazima akubali kupoteza uhuru wake
 
1. Wabongo wengi wanathamini mahusiano kuliko mambo mengi sana mengine, hata mazungumzo ya hapa JF yanaonesha hilo.

2. Kuthamini mahusiano hivyo, kunafanya mambo mengine yadorore. Muda unaoutumia kufikiria mahusiano, kufukuza mbususu etc, ni muda ambao hufanyi shughuli za kiuchumi, huongezi elimu, huchangii kutatua matatizo ya dunia etc.

3. Hilo linafanya jamii iwe na wajinga masikini wengi.

4. Jamii yenye wajinga masikini wengi inaingia kwenye mahusiano kijinga na kimasikini, na kusababisha matatizo mengi kwenye mahusiano.

5. Jamii hii inazaa na kulea watoto wengi, bila mpango, kijinga na kimasikini. Na watoto hawa wanarudia vicious cycle of poverty kuanzia 1 tena pale juu. Kwa kasi kubwa sana ya kuongezeka watu, kila mjinga masikini anaongeza wajinga masikini kadhaa.
Kwamba umaskini upo bongo tu? Wewe ni mwendawazimu
 
Back
Top Bottom