general AI
Member
- Oct 10, 2026
- 23
- 26
1. Wabongo wengi wanathamini mahusiano kuliko mambo mengi sana mengine, hata mazungumzo ya hapa JF yanaonesha hilo.
2. Kuthamini mahusiano hivyo, kunafanya mambo mengine yadorore. Muda unaoutumia kufikiria mahusiano, kufukuza mbususu etc, ni muda ambao hufanyi shughuli za kiuchumi, huongezi elimu, huchangii kutatua matatizo ya dunia etc.
3. Hilo linafanya jamii iwe na wajinga masikini wengi.
4. Jamii yenye wajinga masikini wengi inaingia kwenye mahusiano kijinga na kimasikini, na kusababisha matatizo mengi kwenye mahusiano.
5. Jamii hii inazaa na kulea watoto wengi, bila mpango, kijinga na kimasikini. Na watoto hawa wanarudia vicious cycle of poverty kuanzia 1 tena pale juu. Kwa kasi kubwa sana ya kuongezeka watu, kila mjinga masikini anaongeza wajinga masikini kadhaa.
Ndoa is a failed white elephant project katika enzi hizi za utandawazi!!!!Yes ila hawa wa ndoa changa ndiyo inasikitisha zaidi,wale wakongwe migogoro na kuchokana inachangia na haishangazi sana kut*mbesha.
😅😅 ni kubaya huko kwa groundWanaume sikuhizi mmezid kulalamikaa nin kinawakuta huko
SijuiHiyo body count ina matter upande mmoja tu kwa mwanamke au pande zote mbili kwa mwanamke na mwanamme?
Unaandika mambo usiyoyajua.Sijui
Kwasababu kwenye mahusiano na ngono gatekeeper ni mwanamke.Kwahiyo hapo mwanamke ana chat na mwanamke mwenzie au mwanaume
Kwanini alaumiwe mwanamke tu ?
Baadhi ya wanaume ni ma faller kupita kawaida
Acheni huo ujinga sex ni baina ya watu wawili yaan alaumiwe matongozwajiKwasababu kwenye mahusiano na ngono gatekeeper ni mwanamke.
Wanaotaka kuingia ndani they'll always be there, ila mwenye dhamana ya kuruhusu waingie ama lah ni mlinzi getini, akiwa imara authorised personnel tu wataingia na sifa atapewa mlinzi getini.
Vivyo hivyo akiwa weak kuruhusu unauthorised personnel.
Ndiyo Kiranga kauliza body count inahesabika kwa Ke tu ila kwa Me ni sahihi, Me tuna unafki mkubwa mno.Kwahiyo hapo mwanamke ana chat na mwanamke mwenzie au mwanaume
Kwanini alaumiwe mwanamke tu ?
Baadhi ya wanaume ni ma faller kupita kawaida
Bikra ni halali kabisa kuoa, je wewe mwenyewe umejitunza au ni double standards tu za mahusiano ilimradi tuwasigine Ke?Na ukishamkuta ashatumika namba ya body count hauwezi kuijua kwahiyo suluhisho ni kuoa bikira tu. Tatizo tukisema ukweli ndio wanawake na waliooa mitumba wote wanaungana kutushambulia
Mtongozwaji akikataa hakuna sex itafanyika.Acheni huo ujinga sex ni baina ya watu wawili yaan alaumiwe matongozwaji
Alietongoza anaonekana yupo sahihi
Hivi mnafikiria kwa kutumia nini?
Na bado wanachapika na house boys, usijichanganye kamwe kumridhisha binadamu yeyote, hutafanikiwa milele.Hakuna mwanamke mrahisi kumngonoa kama MKE WA MTU,YAANI NI KAMA KUSUKUMA MLEVI.Usipokuwa na mipaka unakula mpaka unakombelezea.
#Acha waarabu waendelee kuwafunga ndani tu Wanawake akili zao wanazijua wao.
Mimi nikisoma comment hua nashangaa watu walivyo wajingaNdiyo Kiranga kauliza body count inahesabika kwa Ke tu ila kwa Me ni jinsi, Me tuna unafki mkubwa mno.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Kwanini kwanza asilaumiwe mtongozaji maana yeye ndio chanzoMtongozwaji akikataa hakuna sex itafanyika.
Ehee man Sina nachokijua.Unaandika mambo usiyoyajua.
Ndugu Kiranga , hii naweza kuichukua na kuifanyia lamination tafadhali!!??1. Wabongo wengi wanathamini mahusiano kuliko mambo mengi sana mengine, hata mazungumzo ya hapa JF yanaonesha hilo.
2. Kuthamini mahusiano hivyo, kunafanya mambo mengine yadorore. Muda unaoutumia kufikiria mahusiano, kufukuza mbususu etc, ni muda ambao hufanyi shughuli za kiuchumi, huongezi elimu, huchangii kutatua matatizo ya dunia etc.
3. Hilo linafanya jamii iwe na wajinga masikini wengi.
4. Jamii yenye wajinga masikini wengi inaingia kwenye mahusiano kijinga na kimasikini, na kusababisha matatizo mengi kwenye mahusiano.
5. Jamii hii inazaa na kulea watoto wengi, bila mpango, kijinga na kimasikini. Na watoto hawa wanarudia vicious cycle of poverty kuanzia 1 tena pale juu. Kwa kasi kubwa sana ya kuongezeka watu, kila mjinga masikini anaongeza wajinga masikini kadhaa.
GEnerally: wabongo tupo socially na sio economically 😁1. Wabongo wengi wanathamini mahusiano kuliko mambo mengi sana mengine, hata mazungumzo ya hapa JF yanaonesha hilo.
2. Kuthamini mahusiano hivyo, kunafanya mambo mengine yadorore. Muda unaoutumia kufikiria mahusiano, kufukuza mbususu etc, ni muda ambao hufanyi shughuli za kiuchumi, huongezi elimu, huchangii kutatua matatizo ya dunia etc.
3. Hilo linafanya jamii iwe na wajinga masikini wengi.
4. Jamii yenye wajinga masikini wengi inaingia kwenye mahusiano kijinga na kimasikini, na kusababisha matatizo mengi kwenye mahusiano.
5. Jamii hii inazaa na kulea watoto wengi, bila mpango, kijinga na kimasikini. Na watoto hawa wanarudia vicious cycle of poverty kuanzia 1 tena pale juu. Kwa kasi kubwa sana ya kuongezeka watu, kila mjinga masikini anaongeza wajinga masikini kadhaa.
View attachment 3697492
NDOA IMEBAKIA TU KAMA TITLE NA SIO KITU KILICHO SACREDddd
Hata unaposema hivi hujui kuwa unajua hilo.Ehee man Sina nachokijua.