stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
😂😂😂Kumalamama'ako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kumalamama'ako!
Muisrael mweusi au sio?! 😀😅😅😅🙌🏾Kila mtu huzaliwa muislamu?mimi nimezaliwa myahudi
BULLSHIT! 🤢🤮🤣🤣🤣Mungu ni Cheo katika nafsi kuu 3.
1. Mungu Baba (Yehova/Yawe....majina zaidi ya 27).
2. Mungu mwana (Yesu/Neno/Kweli/Mwanakondoo/Mikaeli....).
3. Roho Mtakatifu.
Mfano halisi wa utatu wao mtakatifu ni yai 1 lililo na ganda/gamba la nnje + nyama nyeupe + kiini.
Ukimwomba Mungu hukusikia ila Yesu kapewa mamlaka zaidi sababu alijitoa nafsi yake kufanyika kafara ya damu msalabani ili uokolewe toka dhambini na upate uzima wa milele (maisha baada ya kifo cha hapa duniani).
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
hebu tuthibitishie kuwa kitabu hicho ni cha kweli. na sisi tutakuthibitishia kuwa chetu ni cha kweli. sisi tunaamini chako ni cha uongo hivyo hatuna hata sababu yakukiamini kilichomo ndani yake.Ukisoma Quran utagundua manabii wote kuanzia Adam,Ibrahim,Mussa, Suleiman,Yakub,Issa na wengine wote walikuwa waislam.
Adma ndie muislam wa kwanza
hii avatar yako si ukute wewe ni yule afande wa zanzibar alikuwa anafumuliwa?True story: Tea time,
Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo.
Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una waislam tupu. nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui kwanini lakini Ile sauti ilikuwa ni nzuri sana masikioni na ilinifanya nikawa najisikia amani sana nilalapo.
Mwaka huu mwezi fulan nikiwa nimelala, nikaota ndoto ya ajabu iliyonifaonya nisilimu wiki hiyo.
Ndoto yenyewe ilikuwa hivi:
Niliota Mimi na kaka yangu wa Arusha tukitembea maeneo ya mtaani kwetu hapo Tanga. Tukakutana na kundi kubwa la watu wa Kila aina matajiri kwa masikini wakiingia katika ule msikiti jirani.
Pamoja na tofauti zao za kiuchumi lakini wote waliingia ndani katika ule msikiti na kuwa kama kitu kimoja. Hakukuwa na madaraja mule ndani, hakukuwa na mabenchi ila wote waliingia kama watoto wadogo wakijisalimisha kwa Muumba wao. Ni kama vile pesa,vyeo,umaarufu waliviacha nje ya msikiti.
Nikapita jirani nikasikia ndani Quran inasomwa na wote wakistaajabu maajabu ya hiki kitabu kilichoandikwa Karne nyingi zilizopita.
Nikapita kwa pembeni nikielekea zangu nyumbani, ila kwa nje nkakutana na mtu akawa ananialika tuingie kuswali, nikakataa kwa visingizio vingi kama vile Nawahi sehemu,sijui kuswali,siku nyingine nk. Nk.
Lakini yule mtu akanisisitiza na kuniambia kuwa nikiingia Mungu atanitoa gizani na kuniweka kwenye njia ya haki.
Mi nkaondoka lakini nkamuacha kaka angu akiongea na yule mtu. Ndoto ikaishia hapo.
Kaka angu niliokuwa sijawasiliana naye takriban wiki 3 na sikumwambia kuhusu hiyo ndoto,lakini wiki hiyo hiyo nilisikia kuwa kaka angu wa Arusha amesilimu.
Kiukweli nilistaajabu sana na kujiuliza ni nini hiki na maana yake nini?
Baada ya Tafakuri ya mda mrefu niliamua kwenda kwenye huo msikiti labda nitakutana na yule mtu wa ndotoni na hiyo ndiyo ikawa njia iliyonipelekea kurudi kwenye uislam(Kila mtu huzaliwa muislam).
Katika kumtafuta yule mtu Kuna shehe nilimsimulia, akaamua kuchukua jukumu la kunifunza na kunielezea maajabu ya Quran na kiukweli Ile ndoto + maajabu ya Quran ilinifanya nikasilimu.
Bado naendelea kujifunza mengi mapya katika hii Imani ya kweli na haki.
Allahu akbar.
PS: yule mtu Bado sijampata
PS #2: Braza wa Arusha anajua namimi nimesilimu lakini sijamuhadithia kuhusu Ile ndoto.
Vipi kuhusu makundi ya Kigaidi yanayosema " Allahu Akbar".?Mkuu endelea kujifunza uislam nazan mpk mda huu ujajutia uamuzi wako unaeza kua balozi mzuri wa kufundisha hawa vichwa ngumu wanaozani uislam ni vita
iliyotiwa udi kama aliyoifuata barnaba sio!Utakua umefata mbunye ya shombe shombe.
JITU ZIMA HOVYO! MADA KAMA HIZI MUWE MNAKAAGA KIMYA MKIJIJUA NYIE MNA MAJINA NA MNAFAHAMIKA... KUMBUKA KUNA WATOTO WA WATU WALIWACHAGUA NYINYI BAADHI KUWA VIIGIZO VYAO (ROLE MODELS)
Karibu katika quran na sunnah.
Uislamu maana yake Kusalimika.
Achana na propaganda za dini hii kuhusishwa na Ugaidi
Hivi unajua kuwa kuoa mke zaid ya mmoja kuna hekma kubwa sana kwa Alie tuumba.
Wacha hiyo, hivi unajua uislamu ndio dini iliyokuna kufundisha watu kujilinda vizuri na najisi( kinyesi na mikojo).
Ntaendelea wacha kwanza nimalizie kazi.
nitafutie ban tu... nna maneno ya hovyo na machafu sana! Uzi utafungwa huu, endelea! 😊naona umeguswa kwenye mshono.
Hairuhusiwi. Wale ni wendawazimu! Usiwa-judge wote kwa wendawazimu wachache. HAKUNA ALLAH ANARUHUSU ULE UCHIZI! WALE WANA YAO TU WANASINGIZIA MUNGU KAWATUMA... WAARAB NA WASOMALI NI MACHIZI SANA!Vipi kuhusu makundi ya Kigaidi yanayosema " Allahu Akbar".?
To you my friend, kwetu yupo hai, activate your faith utamuonAYesu hayupo duniani, ameshafariki
We unaonaje?Kwahiyo waislamu hamnyi wala hamkojoi?[emoji28]
Wanawake wakitanga ni mafundi sana. Hao ndio sababu kuu yakusilim kwako. Wakubwa tumeelewa sana justification tu unaitafuta.True story: Tea time,
Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo.
Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una waislam tupu. nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui kwanini lakini Ile sauti ilikuwa ni nzuri sana masikioni na ilinifanya nikawa najisikia amani sana nilalapo.
Mwaka huu mwezi fulan nikiwa nimelala, nikaota ndoto ya ajabu iliyonifaonya nisilimu wiki hiyo.
Ndoto yenyewe ilikuwa hivi:
Niliota Mimi na kaka yangu wa Arusha tukitembea maeneo ya mtaani kwetu hapo Tanga. Tukakutana na kundi kubwa la watu wa Kila aina matajiri kwa masikini wakiingia katika ule msikiti jirani.
Pamoja na tofauti zao za kiuchumi lakini wote waliingia ndani katika ule msikiti na kuwa kama kitu kimoja. Hakukuwa na madaraja mule ndani, hakukuwa na mabenchi ila wote waliingia kama watoto wadogo wakijisalimisha kwa Muumba wao. Ni kama vile pesa,vyeo,umaarufu waliviacha nje ya msikiti.
Nikapita jirani nikasikia ndani Quran inasomwa na wote wakistaajabu maajabu ya hiki kitabu kilichoandikwa Karne nyingi zilizopita.
Nikapita kwa pembeni nikielekea zangu nyumbani, ila kwa nje nkakutana na mtu akawa ananialika tuingie kuswali, nikakataa kwa visingizio vingi kama vile Nawahi sehemu,sijui kuswali,siku nyingine nk. Nk.
Lakini yule mtu akanisisitiza na kuniambia kuwa nikiingia Mungu atanitoa gizani na kuniweka kwenye njia ya haki.
Mi nkaondoka lakini nkamuacha kaka angu akiongea na yule mtu. Ndoto ikaishia hapo.
Kaka angu niliokuwa sijawasiliana naye takriban wiki 3 na sikumwambia kuhusu hiyo ndoto,lakini wiki hiyo hiyo nilisikia kuwa kaka angu wa Arusha amesilimu.
Kiukweli nilistaajabu sana na kujiuliza ni nini hiki na maana yake nini?
Baada ya Tafakuri ya mda mrefu niliamua kwenda kwenye huo msikiti labda nitakutana na yule mtu wa ndotoni na hiyo ndiyo ikawa njia iliyonipelekea kurudi kwenye uislam(Kila mtu huzaliwa muislam).
Katika kumtafuta yule mtu Kuna shehe nilimsimulia, akaamua kuchukua jukumu la kunifunza na kunielezea maajabu ya Quran na kiukweli Ile ndoto + maajabu ya Quran ilinifanya nikasilimu.
Bado naendelea kujifunza mengi mapya katika hii Imani ya kweli na haki.
Allahu akbar.
PS: yule mtu Bado sijampata
PS #2: Braza wa Arusha anajua namimi nimesilimu lakini sijamuhadithia kuhusu Ile ndoto.
Muhamad SAw hajafa?Yesu sio muddy,unaonyesha hata ukristo huujui.